Sultan Kipingo
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 238
- 178
Heshima kwenu wakuu,
Naomba kufahamishwa tofauti ya maneno haya mawili, Mwambao na Pwani.
Naomba kufahamishwa tofauti ya maneno haya mawili, Mwambao na Pwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali halisi haina tofauti. Kiasili ilkuwa namna mbili tu ya kuiangalia sehemu ileile.Heshima kwenu wakuu,
Naomba kufahamishwa tofauti ya maneno haya mawili, Mwambao na Pwani.