Tofauti ya matangazo ya kazi humu awamu hii na ile iliyopita

Tofauti ya matangazo ya kazi humu awamu hii na ile iliyopita

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Awamu iliyopita
  • Mainjinia 30 wanahitajika Tanesco.
  • Majina ya waalimu yanatoka lini?
  • Wanaotaka tubadilishane mikoa tukutane hapa (baada ya kupangiwa ajira).
  • Jamani nimechoka na hii kazi natamani nibadili licha ya mshahara mnono kwa sababu ya majungu.
  • Umebadilisha kazi mara ngapi hadi sasa?
  • Ni mradi gani unafanya wakati uko kwenye ajira?
Awamu hii
  • Unatafuta fundi baiskeli?
  • wadada wa saluni wa kulipwa kwa kutwa wanahitajika.
  • Natafuta kazi ya kufanya usafi stationary
  • Jamani mimi ni mwalimu natafuta kazi ya ulinzi popote nchini, mijini au vijijini.
  • Sioni faida ya kwenda shule. Je, naweza kuanza biashara ya mtaji wa 10000?
  • Tangazo la kazi za taaluma zenye kulipa, interview unakutana hadi na mwalimu wako wa chuo na wa sekondari.
 
🤣🤣🤣, bora ilo la kuuliza ni biashara gani kwa ntakujuza wa laki moja,

Jamani kazi kazi kaaaaazi ni kazi kupata, mwaka wa nne sasa nimeitwa mara moja tu

Nashauri mtu tafuta hata elfu hamsini ya mtaji wa karanga


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom