nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Naombeni tofauti ya hao niliowataja hapo juu. Zoeni lililopita lilikuwa la "Kuondoa wa Machinga" ukiingia kwandani utapata maswali.
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Mapato, kuna viwango vilivyotajwa ili apewe kitambulisho cha wafanyabiashara ndogondogo.
Mzunguko wa mauzo ghafi kwa mwaka yasizidi 40,000,000.00 Je kwa wale wanaojiita Wamachinga ni kweli wote walikuwa hawafiki hicho kiwango