Tofauti ya Mfanyabashara, Mjasiriamali na hawa motivational speakers

Tofauti ya Mfanyabashara, Mjasiriamali na hawa motivational speakers

tamsana

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
3,739
Reaction score
8,044
Picha inaongea yenyewe. Wavaa tai wapo wengi sana.

Screenshot_20220514-131537_Twitter.jpg
 
Mm sitosema niko wapi ila huyo jamaa wa mwisho anapiga ela ndefu...maana siku hizi Tushavuka kwenye industrial revolution tuko wakati mpya wa information age
 
Kuna siku motivational speaker katoka tu kufundisha watu ujasiliamali asubuhi ananiomba elfu tatu ya chai

Kawaida, wengi hawafanyi wanacho preach hata baadhi ya watumishi wa nyumba za ibada mbona
 
Mmoja nilikuwa namsoma leo humu akisema kwa mtaji wa 25K anaingiza faida 300K per day nikaishia kucheka.

Unajiuliza mfumo gani wa biashara anautumia huyu na mimi nikautumie?
 
Back
Top Bottom