Uchaguzi 2020 Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA hakuna

🤣 🤣 Ile trilioni 1.5 sasa ndio inafanya kazi. Kusomba watu pamoja na kuwalipa shilingi 5,000-10,000. Ccm iliishakufa long time.
 
Ripoti ipi CCM hutoa? Miradi yote mikubwa imejaa ufisadi wa kutisha mno na sasa SGR inaenda kuwa na mgomo makandarasi na watumishi wake hawajalipwa malimbikizo yao kibao
 
Mantiki ya kuwa na mkutano wa kampeni ni ili watu tofauti tofauti hususani raia wa kawaida wasio na itikadi za chama chako waje kukusikiliza sera zako ili waamue kukupigia kura na wala sio wafuasi wako kujazana kwa wingi ili kuonyesha mkutano umejaa na kupendeza.
 
Usichikijua ni kuwa wana CCM wengi wanahudhuria mikutano ya Chadema wakiwa na nguo za kiraia.
 
Wengi wanaokwenda kwenye mikutano ya CCM hawaendi kwa mapenzi yao bali huenda kujipendekeza wakihofia wasije wanabambikiwa kesi endapo hawataishabikia CCM
 
Nashangaa sana hata mitaani sioni washabiki na wanachama wa Chadema wakiwa wamevaa magwanda au uniform za Chadema. Au mwaka 2015 kuna mtu alikuwa anagawa bure?
 
Usichikijua ni kuwa wana CCM wengi wanahudhuria mikutano ya Chadema wakiwa na nguo za kiraia.
CCM wengi wenye Akili timamu wanamkubali Tundu lisu na hasa watumishi wa umma ambao wameteswa kwa mda wa miaka 5 pasipo nyongeza ya mshahara.
 
Nashangaa sana hata mitaani sioni washabiki na wanachama wa Chadema wakiwa wamevaa magwanda au uniform za Chadema. Au mwaka 2015 kuna mtu alikuwa anagawa bure?
Upinzani upo moyoni zaidi wengi wasovaa sare ni wapinzani na hata CCM wenye Akili timamu moyoni wapo na wapinzani ingawa wanavaa mavazi ya CCM kuwahadaa nyinyi msijue chochote
 
Wengi wanaokwenda kwenye mikutano ya CCM hawaendi kwa mapenzi yao bali huenda kujipendekeza wakihofia wasije wanabambikiwa kesi endapo hawataishabikia CCM
Acha utoto unataka kusema watu wanabambikiwa kesi kisa hawaishabikii Ccm? Unaweza kuthibitisha hili?
 
Waacheni watoto wa shule wasome..
 
CCM wote wenye Akili timamu huvaa sare za CCM lakini moyoni Akili zao zote zipo kwa wapinzani
 
Acha utoto unataka kusema watu wanabambikiwa kesi kisa hawaishabikii Ccm? Unaweza kuthibitisha hili?
Utoto ni kukataa kuwa hakuna ubambikiaji kesi kwenye utawala wa CCM, ni mtoto pekee anakataa kuwa hakuna kubambikiwa kesi kwa kuwa pengine hajui asemacho, wewe ndiyo una utoto kwa kuwa unakataa ushetani wenu wa kuwabambikia watu kesi wakati ni jambo la wazi
 
Zamoyoni. Siyo za nje. "Cheap article!
 
Nimekuuliza watu wanabambikiwa kesi kisa sio wanaCcm? Mbona kila siku Dpp anashughulikia hii kero na watu wengi wanabambikiwa na polisi wasio na maadili. Ndio maana Dpp amezunguka Tanzania nzima na wengi tu wameachiwa.
 
Ccm sare zao ni bure wakati za chadema bila elfu kumi na tano upati...
 
Upinzani upo moyoni zaidi wengi wasovaa sare ni wapinzani na hata CCM wenye Akili timamu moyoni wapo na wapinzani ingawa wanavaa mavazi ya CCM kuwahadaa nyinyi msijue chochote
Upinzani huu wa kumsindikiza Mbowe akila ruzuku ndio ukae kwenye mioyo ya watanzania? Labda kwa mtu kama wewe ambae unafumba macho kutetea chama cha matapeli.
 
Waandalizi wanavaa sare ambao ni CCM

wafiche nini wakati wao ndio wameandaa mkutano?
Wanakuja na wengine kibao .Harusii wenyeji huvaa sare

Chadema mkutano wenyeji ni jukwaa kuu tu wengine wapita njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…