Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ripoti ipi CCM hutoa? Miradi yote mikubwa imejaa ufisadi wa kutisha mno na sasa SGR inaenda kuwa na mgomo makandarasi na watumishi wake hawajalipwa malimbikizo yao kibaoZ
Kampeni si tu kuomba kura ni kueleza mafanikio ya yale uliyoyafanya kwenye ilani iliyopita
CCM inaenda kutoa ripoti kwa wanachama wake pia kupitia hiyo mikutano ndio maana wanajaa wasikie ripoti na pia wasikie nini kinafuata kwenye ilani mpya
Ule ni mkutano wa hadhara wa Chama pia ila ume combine vyote chama na kampeni
Wengi wanaokwenda kwenye mikutano ya CCM hawaendi kwa mapenzi yao bali huenda kujipendekeza wakihofia wasije wanabambikiwa kesi endapo hawataishabikia CCMMantiki ya kuwa na mkutano wa kampeni ni ili watu tofauti tofauti hususani raia wa kawaida wasio na itikadi za chama chako waje kukusikiliza sera zako ili waamue kukupigia kura na wala sio wafuasi wako kujazana kwa wingi ili kuonyesha mkutano umejaa na kupendeza.
Nashangaa sana hata mitaani sioni washabiki na wanachama wa Chadema wakiwa wamevaa magwanda au uniform za Chadema. Au mwaka 2015 kuna mtu alikuwa anagawa bure?Ukitaka kujua watu wana mapenzi gani na timu iwe Simba au yanga angalia uwingi wa uvaaji nguo za timu kwenye uwanja.
Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA wanaohudhuria ni wasiojulikana ni chama gani.
Huoni zile tshirt za CHADEMA ushahidi kuwa wanaohudhuria ni wapita njia waliokuja tu kumshangaa Lissu.
Kwa mtizamo ukitizama picha zote za mikutano ya CHADEMA wavaa Tshirt za CHADEMA ni wa kumulika na tochi ni kama hawapo kabisa.
CCM mikutano yake unaona wazi kuwa waliofurika wengi ni wafia chama sio wapita njia.
CCM wengi wenye Akili timamu wanamkubali Tundu lisu na hasa watumishi wa umma ambao wameteswa kwa mda wa miaka 5 pasipo nyongeza ya mshahara.Usichikijua ni kuwa wana CCM wengi wanahudhuria mikutano ya Chadema wakiwa na nguo za kiraia.
Upinzani upo moyoni zaidi wengi wasovaa sare ni wapinzani na hata CCM wenye Akili timamu moyoni wapo na wapinzani ingawa wanavaa mavazi ya CCM kuwahadaa nyinyi msijue chochoteNashangaa sana hata mitaani sioni washabiki na wanachama wa Chadema wakiwa wamevaa magwanda au uniform za Chadema. Au mwaka 2015 kuna mtu alikuwa anagawa bure?
Acha utoto unataka kusema watu wanabambikiwa kesi kisa hawaishabikii Ccm? Unaweza kuthibitisha hili?Wengi wanaokwenda kwenye mikutano ya CCM hawaendi kwa mapenzi yao bali huenda kujipendekeza wakihofia wasije wanabambikiwa kesi endapo hawataishabikia CCM
Ukitaka kujua watu wana mapenzi gani na timu iwe Simba au yanga angalia uwingi wa uvaaji nguo za timu kwenye uwanja.
Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA wanaohudhuria ni wasiojulikana ni chama gani.
Huoni zile tshirt za CHADEMA ushahidi kuwa wanaohudhuria ni wapita njia waliokuja tu kumshangaa Lissu.
Kwa mtizamo ukitizama picha zote za mikutano ya CHADEMA wavaa Tshirt za CHADEMA ni wa kumulika na tochi ni kama hawapo kabisa.
CCM mikutano yake unaona wazi kuwa waliofurika wengi ni wafia chama sio wapita njia.
Utoto ni kukataa kuwa hakuna ubambikiaji kesi kwenye utawala wa CCM, ni mtoto pekee anakataa kuwa hakuna kubambikiwa kesi kwa kuwa pengine hajui asemacho, wewe ndiyo una utoto kwa kuwa unakataa ushetani wenu wa kuwabambikia watu kesi wakati ni jambo la waziAcha utoto unataka kusema watu wanabambikiwa kesi kisa hawaishabikii Ccm? Unaweza kuthibitisha hili?
Zamoyoni. Siyo za nje. "Cheap article!Ukitaka kujua watu wana mapenzi gani na timu iwe Simba au yanga angalia uwingi wa uvaaji nguo za timu kwenye uwanja.
Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA wanaohudhuria ni wasiojulikana ni chama gani.
Huoni zile tshirt za CHADEMA ushahidi kuwa wanaohudhuria ni wapita njia waliokuja tu kumshangaa Lissu.
Kwa mtizamo ukitizama picha zote za mikutano ya CHADEMA wavaa Tshirt za CHADEMA ni wa kumulika na tochi ni kama hawapo kabisa.
CCM mikutano yake unaona wazi kuwa waliofurika wengi ni wafia chama sio wapita njia.
Nimekuuliza watu wanabambikiwa kesi kisa sio wanaCcm? Mbona kila siku Dpp anashughulikia hii kero na watu wengi wanabambikiwa na polisi wasio na maadili. Ndio maana Dpp amezunguka Tanzania nzima na wengi tu wameachiwa.Utoto ni kukataa kuwa hakuna ubambikiaji kesi kwenye utawala wa CCM, ni mtoto pekee anakataa kuwa hakuna kubambikiwa kesi kwa kuwa pengine hajui asemacho, wewe ndiyo una utoto kwa kuwa unakataa ushetani wenu wa kuwabambikia watu kesi wakati ni jambo la wazi
Upinzani huu wa kumsindikiza Mbowe akila ruzuku ndio ukae kwenye mioyo ya watanzania? Labda kwa mtu kama wewe ambae unafumba macho kutetea chama cha matapeli.Upinzani upo moyoni zaidi wengi wasovaa sare ni wapinzani na hata CCM wenye Akili timamu moyoni wapo na wapinzani ingawa wanavaa mavazi ya CCM kuwahadaa nyinyi msijue chochote
Waandalizi wanavaa sare ambao ni CCMMantiki ya kuwa na mkutano wa kampeni ni ili watu tofauti tofauti hususani raia wa kawaida wasio na itikadi za chama chako waje kukusikiliza sera zako ili waamue kukupigia kura na wala sio wafuasi wako kujazana kwa wingi ili kuonyesha mkutano umejaa na kupendeza.