Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampeni si tu kuomba kura ni kueleza mafanikio ya yale uliyoyafanya kwenye ilani iliyopitasasa kama watu wa ccm ndio wanahudhuria kampeni za ccm..kuna haja gani ya ccm kupiga kampeni?
2015 Chadema mbona hali haikuwa hivyo enzi za Lowasa? Watu walikuwa na Mwamko mkubwa na chama. Tshirt Chadema kila kona na wala hawakuwa wamenunuliwa hizo Tshirt na Lowasa ni wao wenyeweni kwa vile mikutano ya CCM ina sura ya bonanza (wamo wapiga kura wa Lissu na wa Magufuli).
so CCM ina bajeti ya:
kununulia nguo wahudhuriaji wa mikutano yake
kuwasomba watu kuja kuhudhuria kwenye mikutano
kualika wasanii kwenye mikutano kwa malipo
Chadema haina bajeti hiyo - watu wanajileta wenyewe kwenye mikutano na nguo zao wenyewe, kwa usafiri wao wenyewe na bila ya kivutio chochote cha wasanii.
miaka 5 kabla ya uchaguzi wa 2015, vyama vyote vilikuwa huru kuendesha mambo ya siasa. kwa hiyo vyama vyote viliingia uchaguzini vikiwa na nguvu sawa.... of course ukiondoa dola na NEC kuegemea zaidi upande wetu.2015 Chadema mbona hali haikuwa hivyo enzi za Lowasa? Watu walikuwa na Mwamko mkubwa na chama. Tshirt Chadema kila kona na wala hawakuwa wamenunuliwa hizo Tshirt na Lowasa ni wao wenyewe
Chadema mkubalu chama kimedorora Mwanao wa wanachama umekufa umebaki kwa viongozi na tu ni kwa ajili ya maslahi tu lakini Chadema hakina wanachama wafia chama
Haiku yenu mbaya sio siri
Uvaaji nguo za Chama ni moja ya kiashiria cha mapenzi makubwa na Mwanao mkubwa wa wanachama kwa chama chao
CCM wanachama hununua nguo za CCM za familia nzima
Kukiwa n.a. tukio la CCM wote wanavaa nguo za CCM kuonyesha mapenzi yao makubwa waliyonayo kwa chama chap
Chadema hali tofauti. Hilo la mavazi tu ni kiashiria tosha kabisa kuwa CCM in a wapiga kura wengi royal kwake tofauti n.a. Chadema wategemea kura za wapita njia au wanaokuja tu mkutanoni kusafisha macho na masikio
Nakwambia hata confidence ya mgombea inakuwa kubwa na iko juu kuhutubia watu wengi waliovaa sare ya chama cake.Ukiangalia Lisu unamwonea hadi huruma akihutubia hiyo hali ka i note
Unakuta hakawii kuacha hata kuhutubia sera anakuwa mtu wa hasira ghafla n.a. uso unayeyuka uangavu wake sababu anaona anaowahutubia kama sio wenyewe vile na mwisho inathibitika kuwa ni kweli sio wenyewe akianza kuitisha mchango watu wanaondoka mkutanoni mbio kwa makundi makubwa haraka kukataa kuchanga
Moja ya sababu nyingine wanaogopa kuvaa nguo za timu yao wakimuogopa jini mnyonya damu asiwatambue kirahisiUkitaka kujua watu wana mapenzi gani na timu iwe Simba au yanga angalia uwingi wa uvaaji nguo za timu kwenye uwanja.
Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA wanaohudhuria ni wasiojulikana ni chama gani.
Huoni zile tshirt za CHADEMA ushahidi kuwa wanaohudhuria ni wapita njia waliokuja tu kumshangaa Lissu.
Kwa mtizamo ukitizama picha zote za mikutano ya CHADEMA wavaa Tshirt za CHADEMA ni wa kumulika na tochi ni kama hawapo kabisa.
CCM mikutano yake unaona wazi kuwa waliofurika wengi ni wafia chama sio wapita njia.
Tofauti nyingine ni kuwaUkitaka kujua watu wana mapenzi gani na timu iwe Simba au yanga angalia uwingi wa uvaaji nguo za timu kwenye uwanja.
Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA wanaohudhuria ni wasiojulikana ni chama gani.
Huoni zile tshirt za CHADEMA ushahidi kuwa wanaohudhuria ni wapita njia waliokuja tu kumshangaa Lissu.
Kwa mtizamo ukitizama picha zote za mikutano ya CHADEMA wavaa Tshirt za CHADEMA ni wa kumulika na tochi ni kama hawapo kabisa.
CCM mikutano yake unaona wazi kuwa waliofurika wengi ni wafia chama sio wapita njia.
Na nyie tumieni ruzuku yenu ambayo ni pesa za wananchi,Kwani si mnatumia kodi zetu, kununua mitishet na kuigawa bure??
Yaani kama ni mapenzi, Mapenzi walonayo wananchi kwa CHADEMA ndio Halisi.
Hamna cha hongo ya aina yoyote lakini nyomi lake sasa [emoji23][emoji23]
Marofa ndo wnasema kuwa kubebwa ni marori ni shida, lengo pale ni kufika unapotaka kufika,Tofauti nyingine ni kuwa
Ccm watu wwnasombwa kwa malori
Mgombea anaongea kilugha akiwa kwao
Wananchi wanaenda kumuuona ZUCHU NA DIAMONDI na Maria nyerere kuongeza vichwa
Share za chama zinatolewa bure
Note. Sare za chama co idadi ya kura. Aliyepokwa KOROSHO zake na Kuhani hajasahau Kyle kusini.kumbuka hilo
Bac tutakutana October lazima mshikwe na wazimuTofauti zingine
1. CCM huwabebe maelfu kwa mamia kwa kutumia mabasi, bunda, ngamia, treni nk
2. CCM huwapa kwa upendo kabisa wahudhuriaji kuanzia 5,000/- na kuendelea.
3. CCM ndo chama kinachotumia Wanafunzi vzuri maana hakika wanavijaza viwanja,
4. CCM ndo chama pekee ambacho kila kinapoenda, shule , vyuo,vyote hufungwa . na kulazimishwa kuhudhuria.
NB: kinyume chake ni CHADEMA.
Hao wa ccm wanaongozwa kabisa wavaejeUkitaka kujua watu wana mapenzi gani na timu iwe Simba au yanga angalia uwingi wa uvaaji nguo za timu kwenye uwanja.
Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA wanaohudhuria ni wasiojulikana ni chama gani.
Huoni zile tshirt za CHADEMA ushahidi kuwa wanaohudhuria ni wapita njia waliokuja tu kumshangaa Lissu.
Kwa mtizamo ukitizama picha zote za mikutano ya CHADEMA wavaa Tshirt za CHADEMA ni wa kumulika na tochi ni kama hawapo kabisa.
CCM mikutano yake unaona wazi kuwa waliofurika wengi ni wafia chama sio wapita njia.
Ukitaka kujua watu wana mapenzi gani na timu iwe Simba au yanga angalia uwingi wa uvaaji nguo za timu kwenye uwanja.
Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA wanaohudhuria ni wasiojulikana ni chama gani.
Huoni zile tshirt za CHADEMA ushahidi kuwa wanaohudhuria ni wapita njia waliokuja tu kumshangaa Lissu.
Kwa mtizamo ukitizama picha zote za mikutano ya CHADEMA wavaa Tshirt za CHADEMA ni wa kumulika na tochi ni kama hawapo kabisa.
CCM mikutano yake unaona wazi kuwa waliofurika wengi ni wafia chama sio wapita njia.
Tofauti zingine
1. CCM huwabebe maelfu kwa mamia kwa kutumia mabasi, bunda, ngamia, treni nk
2. CCM huwapa kwa upendo kabisa wahudhuriaji kuanzia 5,000/- na kuendelea.
3. CCM ndo chama kinachotumia Wanafunzi vzuri maana hakika wanavijaza viwanja,
4. CCM ndo chama pekee ambacho kila kinapoenda, shule , vyuo,vyote hufungwa . na kulazimishwa kuhudhuria.
NB: kinyume chake ni CHADEMA.
Na malori yenyewe ndio ayoHawa wa kusombelewa na malori..!?
Wapo watanzania wengi wasio na vyama lakini sasa wamehamasika kuingia upinzani baada ya kukasirishwa na ushetani mpya wa CCM wa kupita bila kupingwa kwa njia haramu, CCM husombwa na magari kutoka sehemu nyingi za jirani na pia ukumbuke CCM huchukua pesa Hazina kienyeji pasipo idhini ya bunge ni rahisi kuwanunulia watu nguo za CCM kisha kuwalazimisha kuvaa, kwa mfano wahindi, waarabu wengi huvaa nguo za CCM kwa kujipendekeza tu wakihofia kubambikiwa kesi wakaporwa mali zao, wanaovaa nguo za CCM siyo kwamba wote wanaipenda CCM bali huvaa tu kulinda biashara zao.Ukitaka kujua watu wana mapenzi gani na timu iwe Simba au yanga angalia uwingi wa uvaaji nguo za timu kwenye uwanja.
Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA wanaohudhuria ni wasiojulikana ni chama gani.
Huoni zile tshirt za CHADEMA ushahidi kuwa wanaohudhuria ni wapita njia waliokuja tu kumshangaa Lissu.
Kwa mtizamo ukitizama picha zote za mikutano ya CHADEMA wavaa Tshirt za CHADEMA ni wa kumulika na tochi ni kama hawapo kabisa.
CCM mikutano yake unaona wazi kuwa waliofurika wengi ni wafia chama sio wapita njia.
Watu wa chadema hufuata sera maneno ya faraja lakini watu wa CCM huenda kuangalia show za wasanii mbalimbalini kwa vile mikutano ya CCM ina sura ya bonanza (wamo wapiga kura wa Lissu na wa Magufuli).