Tofauti ya mla tikiti na ugali asubuhi; Diamond na Kiba

....Umeandika kishankupe hadi unakosea maneno...so kaka dalali wa mondi unamjua na kiba unakaa jirani nae duh!!!!!! upo vizuri..skiza bosi weka chuki pembeni na mpigie makofi kiba kwa kufanya uwekezaji wa kimataifa na kampuni ya south africa ya ROCKSTAR4000, kumsaidia abdu kiba ulitaka amfanyeje ambebe mgongoni/ hapo ulipo unajua kwamba abdu kiba ni msanii wa bongofleva na siyo fundi mwashi au fundi mapikipiki kwa sababu ya huyohuyo king kiba mbna diamond hajamnyanyua dadake esma aimbe? maana naona suala la abdu mnalazimisha liwe la king sielew kivip? nimekwambia kuhusu ulaya umekimbilia kwa shilole unasema hafanyi show Afrika afu unaniambia anaenda Mombasa sa sijui Mombasa ipo UJERUMANI kaka,kwa hiyo show za ulaya siku hizi siyo show ila show n za afrika tu kwa sababu diamond anafanya show afrika aisee we jamaa kiazi kwelikweli, how sure kama yanampiga vikumbo labda vigezo na masharti wanashindwana!!!,ok tufanye kiba hana nyumba msanii mwenye nyumba ni diamond peke yake mkuu HAPO VIPI???
 
Analysis yako imejaa maneno mengiiiii lkn pumba tupu....hujajibu hoja za jamaa bali umetuletea maelezo tu yasiyo ni vichwa wala miguu.....soma upya hoja za mshikaji zen uzijibu kwa fact.
.....SO FACT NI KUJIBU UNACHOTAKA WW BOSS?? THOSE ARE MY FACTS WETHER U LYK OR NOT NA ZINAZOKUCHOMA NDO FACTS NZURI ZAIDI....tujifunze kuvumilia kuskia hata tusiyopenda kuyaskia kaka sawa???....karibu tena.
 
Yani we jamaa ungejua kuwa tikiti lina hela kuliko ugali usingethubutu kuandika huu uzi!!
 
Chuki + roho mbaya = delaying of success. .
Only in BONGO
 
Chuki + roho mbaya = delaying of success. .
Only in BONGO
KUTOKUBALI UKWELI NDO INACHELEWESHA MAENDELEO MKUU, UNATAKIWA UKUBALI UKWELI HASWA KUKOSOLEWA THEN FANYIA KAZI ULIYOAMBIWA AFU UONE.
 
labda mseme mmemshindwa kiba rasmiiii mnatafuta mpinzani dhaifu muwe mnapeta tuu huyu huyu king awanyooshe hadi mnye mavi mekundu...NGOMA MOJA INAWAKIMBIZA MWAKA MZIMA.....
Kumbe seduce me bado inawakimbiza mtaan ...kila kona ukikatiza unaiskia yenyewe tu au? Mana kuna tofauti ya kukimbiza na mtu kujitolea utaratibu wa nyimbo moja kwa mwaka yan hapo ipigwe isipigwe lkn hatoi mpk mwaka
 
Na ndio maana mmoja ana NJAA ya mafanikio,kwani kila mda anakuja na kitu kipya,ila huyu mwengine KALALA kutokana na SHIBE na kuvimbiwa (nimeupenda mfano wako)

Ugali wa jana haujawahi kumuacha mtu salama(Kiporo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…