Tofauti ya mla tikiti na ugali asubuhi; Diamond na Kiba

Tofauti ya mla tikiti na ugali asubuhi; Diamond na Kiba

Tatizo team kiba maneno meeengi facts hamna. Eti upuuzi wa madale mbona huyo kiba kashindwa kutengeneza upuuzi wa kariakoo? Wcb inaweza kuwa upuuzi kwako ila ndo recorrds insyotamba kwa wasanii wenye vipaji na tuzo za kimataifa, huyo kiba ameshindwa hata kumuinua mdogo wake ndo angeweza kutengeneza records ya kuwainua wengine? ameona ajifiche kwenye mwavumli wa rockstar mana anajua akisema aige na hilo la kuwa recor yake ataaibika. Nyumba za mond ni madale, south africa, kuna moja ipo kunduchi na kuna zingine ni appattment ziko 6 alinzinunua na dalali aliemuuzia tunafahamiana vzr ndo mana nikajua, kuna zingine mbili cjui ziko wapi zinajengwa mama ake ndo alikuwa anazipost. Sasa kiba amepanga tabata tena ni jirani yangu na nyumba ni kawaida sana, sasa huo mkwanja wake anafanyia nn au ni hela majini zinamasharti ya kutofanyia mambo ya maana? mana tajiri alafu hana pa kuishi pa maana sijui tumuwekefungu gani, na kuhusu show cjazungumzia habari za ulaya mana hata shilole anaenda sana tu, nimezungumzia nchi zingine za africa mana king wenu anaishia mombasa. Na nimeuliza hv mskampuni kila cku yanapigana vikumbo kumpa dili diamond, huyo king wenu vipi au tatizo nyota?
....Umeandika kishankupe hadi unakosea maneno...so kaka dalali wa mondi unamjua na kiba unakaa jirani nae duh!!!!!! upo vizuri..skiza bosi weka chuki pembeni na mpigie makofi kiba kwa kufanya uwekezaji wa kimataifa na kampuni ya south africa ya ROCKSTAR4000, kumsaidia abdu kiba ulitaka amfanyeje ambebe mgongoni/ hapo ulipo unajua kwamba abdu kiba ni msanii wa bongofleva na siyo fundi mwashi au fundi mapikipiki kwa sababu ya huyohuyo king kiba mbna diamond hajamnyanyua dadake esma aimbe? maana naona suala la abdu mnalazimisha liwe la king sielew kivip? nimekwambia kuhusu ulaya umekimbilia kwa shilole unasema hafanyi show Afrika afu unaniambia anaenda Mombasa sa sijui Mombasa ipo UJERUMANI kaka,kwa hiyo show za ulaya siku hizi siyo show ila show n za afrika tu kwa sababu diamond anafanya show afrika aisee we jamaa kiazi kwelikweli, how sure kama yanampiga vikumbo labda vigezo na masharti wanashindwana!!!,ok tufanye kiba hana nyumba msanii mwenye nyumba ni diamond peke yake mkuu HAPO VIPI???
 
Analysis yako imejaa maneno mengiiiii lkn pumba tupu....hujajibu hoja za jamaa bali umetuletea maelezo tu yasiyo ni vichwa wala miguu.....soma upya hoja za mshikaji zen uzijibu kwa fact.
.....SO FACT NI KUJIBU UNACHOTAKA WW BOSS?? THOSE ARE MY FACTS WETHER U LYK OR NOT NA ZINAZOKUCHOMA NDO FACTS NZURI ZAIDI....tujifunze kuvumilia kuskia hata tusiyopenda kuyaskia kaka sawa???....karibu tena.
 
Asee tukae tukijua kuna tofauti kubwa sana ya mtu aliyekula tikiti maji na aliyekula ugali asubuhi,

Aliyekula tikiti maji asubuhi ya saa moja by saa nne tu njaa humuuma tena na huingia tena jikoni kuchukua kipande kingine cha tikiti na ikifika tena saa nane na saa 12 atakula tena na hivyo kumfanya hadi jioni kuwa kala mara nne na huweza kujisifu kwamba anakula sana huyu bwana na watu wakamshangilia kweli kweli kwamba jamaa anabunya hatari

Tofauti na aliyekula ugali muda mmoja na yule wa matikiti huyu anaweza fika hata saa mbili usiku ndo ale tena kwa kuwa ugali ni chakula kizito na hukaa muda mrefu tumboni na humeng'enywa taratibu kwa nidhamu tofauti na tikiti maji..............

Diamond Achana Na Matikiti Maji Nadhani Ni Muda Wa Kudeal Na Ugali Kama Kiba Hii Miziki Myepesi Myepes Ya Wiki Tatu Nne Sasa Basi Tuliza Kichwa Fanya Kazi Za Maana, Huoni Aibu Kiba Ana Ngoma Mpya Ya Seduce Bt Juzi Kawagaragaza Afrimma Na Aje?...
Don't you Asq Ur Selvz Why?....

Ila matikiti maji noo we want diamond yule wa lala salama nitarejea and other shits of that kind..
Yani we jamaa ungejua kuwa tikiti lina hela kuliko ugali usingethubutu kuandika huu uzi!!
 
Chuki + roho mbaya = delaying of success. .
Only in BONGO
KUTOKUBALI UKWELI NDO INACHELEWESHA MAENDELEO MKUU, UNATAKIWA UKUBALI UKWELI HASWA KUKOSOLEWA THEN FANYIA KAZI ULIYOAMBIWA AFU UONE.
 
labda mseme mmemshindwa kiba rasmiiii mnatafuta mpinzani dhaifu muwe mnapeta tuu huyu huyu king awanyooshe hadi mnye mavi mekundu...NGOMA MOJA INAWAKIMBIZA MWAKA MZIMA.....
Kumbe seduce me bado inawakimbiza mtaan ...kila kona ukikatiza unaiskia yenyewe tu au? Mana kuna tofauti ya kukimbiza na mtu kujitolea utaratibu wa nyimbo moja kwa mwaka yan hapo ipigwe isipigwe lkn hatoi mpk mwaka
 
Na ndio maana mmoja ana NJAA ya mafanikio,kwani kila mda anakuja na kitu kipya,ila huyu mwengine KALALA kutokana na SHIBE na kuvimbiwa (nimeupenda mfano wako)

Ugali wa jana haujawahi kumuacha mtu salama(Kiporo)
 
Back
Top Bottom