joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sawa mkuu umezungumza kwa lugha ya fumbo kwa kutumia tikiti na ugali,lkn kumbuka tunapomzungumzia Kiba na Mondi tunazungumzia muziki na muziki ni biashara na biashara ni pesa*Soma juu uelewe imezungumziwa bei au kitu gani afu ndo uje tena boss sawa???
Ok so nn maana yako baada ya hapo? muziki pesa yaah enhee nn maana yako sasa baada ya kutuambia muziki pesa?Sawa mkuu umezungumza kwa lugha ya fumbo kwa kutumia tikiti na ugali,lkn kumbuka tunapomzungumzia Kiba na Mondi tunazungumzia muziki na muziki ni biashara na biashara ni pesa*
Y.O.L.O
Katoa UGALI mwengine , ule ugali aliomshirikisha vyone chaka chaka, vp ushakula
Kumbe seduce me bado inawakimbiza mtaan ...kila kona ukikatiza unaiskia yenyewe tu au? Mana kuna tofauti ya kukimbiza na mtu kujitolea utaratibu wa nyimbo moja kwa mwaka yan hapo ipigwe isipigwe lkn hatoi mpk mwaka