Tofauti ya mla tikiti na ugali asubuhi; Diamond na Kiba

Tofauti ya mla tikiti na ugali asubuhi; Diamond na Kiba

Katoa UGALI mwengine , ule ugali aliomshirikisha vyone chaka chaka, vp ushakula
 
Soma juu uelewe imezungumziwa bei au kitu gani afu ndo uje tena boss sawa???
Sawa mkuu umezungumza kwa lugha ya fumbo kwa kutumia tikiti na ugali,lkn kumbuka tunapomzungumzia Kiba na Mondi tunazungumzia muziki na muziki ni biashara na biashara ni pesa*

Y.O.L.O
 
Sawa mkuu umezungumza kwa lugha ya fumbo kwa kutumia tikiti na ugali,lkn kumbuka tunapomzungumzia Kiba na Mondi tunazungumzia muziki na muziki ni biashara na biashara ni pesa*

Y.O.L.O
Ok so nn maana yako baada ya hapo? muziki pesa yaah enhee nn maana yako sasa baada ya kutuambia muziki pesa?
 
Kumbe seduce me bado inawakimbiza mtaan ...kila kona ukikatiza unaiskia yenyewe tu au? Mana kuna tofauti ya kukimbiza na mtu kujitolea utaratibu wa nyimbo moja kwa mwaka yan hapo ipigwe isipigwe lkn hatoi mpk mwaka

we mwenyewe unaionaje mkuu?
 
Diamond ana timu kubwa sana inamtegemea tofauti na Kiba, hivyo inabidi mila siku atafute means ya kutengeneza mkwanja mojawapo kutoa ngoma mpya mara kwa mara
 
Back
Top Bottom