SENIOR TEACHER
Member
- Apr 6, 2026
- 70
- 117
Chuo tabora???Mimi ni mwalimu wa masomo ya art na nimehitimu degree mwaka 2016 katika chuo kimoja mkoani Tabora.
Binafsi ningependa kutoa uzoefu wangu kama mwalimu wa masomo haya dhidi ya wenzetu wa sayansi, nikimtolea mfano mdogo wangu ambaye ni mwalimu wa physics na chemistry.
MDOGO WANGU (PHY na CHEM)
Mwaka 2020 alimaliza chuo.
Mwaka 2021 alipata kazi katika shule binafsi Tabora, mshahara laki tano na nusu
Mwaka 2022 alipata shule nyingine binafsi Mwanza, mshahara laki saba na tisini
Mwaka 2023 alipata shule binafsi kubwa Mbeya, mshahara milioni 1.1
Mwaka 2025 alipata shule nyingine Moshi, mshahara milioni 1.7
Mwaka 2026 ameajiriwa serikalini katika taasisi ya elimu
MIMI (ART)
Mwaka 2016 nimemaliza chuo, nikawa msambaza barua, sikupata kazi ya ualimu.
Mwaka 2018 nikapata kazi ya kujitolea katika shule ya Peramiho Sec, mshahara laki moja na elfu kumi, nilidumu miezi 8, mkuu mpya wa shule akasema hakuna fedha za kutulipa.
Mwaka 2019 mpaka 2023 nikafundisha kwa kujitolea katika shule za Bombambili, Maposeni, Liparamba na Mtogoro, nikilipwa kati ya laki moja mpaka laki moja na nusu.
Mwaka 2024 nikapata shule binafsi, mshahara laki tatu na nusu, sikukaa muda mrefu, nilifanyiwa figisu na nafasi yangu ikachukuliwa na mke wa academic, nimeshamsamehe.
Mwaka 2025 nikapata shule binafsi Livingston, nikafundisha vizuri, mshahara laki nne na sabini, shule ikapata mdororo wa kiuchumi.
Nikahamia shule nyingine binafsi, mshahara laki tatu. Mwezi wa kwanza mwalimu wa mathematics akaajiriwa serikalini, alikuwa rafiki yangu, mkurugenzi akanilaumu kuwa mimi ndiye nilimshawishi kuondoka, nikafungashiwa virago.
Mwaka 2026 nikarudi Ruvuma mwezi wa pili nikawa mwalimu wa kujitolea, mshahara laki mbili kamili.
Ajira za serikali zilipotangazwa nikakutana na NOT SELECTED.
Ila Shule zingine Bwana hata hiyo nayo hawana ya kulipa? Pale unapokuta Bosi naye ana njaa anaganga apate hela ya kununua kiwanjaMwaka 2018 nikapata kazi ya kujitolea katika shule ya Peramiho Sec, mshahara laki moja na elfu kumi, nilidumu miezi 8, mkuu mpya wa shule akasema hakuna fedha za kutulipa.
Watu smart huwa hawaajiriwi serikalini, serikalini wanaenda watu hohe hahe, si umeona mdogo wake?Ila siku ukiajiliwa Shule za kata (serikalini), Mwalimu wa masomo ya Sayansi kazi nyingi kuliko WA arts. Unajikuta Mwalimu Wa masomo ya Sayansi uko peke yako (e.g. physics) Shule nzima.
Lakini Mkuu mbona Ruvuma ina ardhi nzuri na Rutuba ya kutosha? Hukutaka kabisa kushika Jembe?Mimi ni mwalimu wa masomo ya art na nimehitimu degree mwaka 2016 katika chuo kimoja mkoani Tabora.
Binafsi ningependa kutoa uzoefu wangu kama mwalimu wa masomo haya dhidi ya wenzetu wa sayansi, nikimtolea mfano mdogo wangu ambaye ni mwalimu wa physics na chemistry.
MDOGO WANGU (PHY na CHEM)
Mwaka 2020 alimaliza chuo.
Mwaka 2021 alipata kazi katika shule binafsi Tabora, mshahara laki tano na nusu
Mwaka 2022 alipata shule nyingine binafsi Mwanza, mshahara laki saba na tisini
Mwaka 2023 alipata shule binafsi kubwa Mbeya, mshahara milioni 1.1
Mwaka 2025 alipata shule nyingine Moshi, mshahara milioni 1.7
Mwaka 2026 ameajiriwa serikalini katika taasisi ya elimu
MIMI (ART)
Mwaka 2016 nimemaliza chuo, nikawa msambaza barua, sikupata kazi ya ualimu.
Mwaka 2018 nikapata kazi ya kujitolea katika shule ya Peramiho Sec, mshahara laki moja na elfu kumi, nilidumu miezi 8, mkuu mpya wa shule akasema hakuna fedha za kutulipa.
Mwaka 2019 mpaka 2023 nikafundisha kwa kujitolea katika shule za Bombambili, Maposeni, Liparamba na Mtogoro, nikilipwa kati ya laki moja mpaka laki moja na nusu.
Mwaka 2024 nikapata shule binafsi, mshahara laki tatu na nusu, sikukaa muda mrefu, nilifanyiwa figisu na nafasi yangu ikachukuliwa na mke wa academic, nimeshamsamehe.
Mwaka 2025 nikapata shule binafsi Livingston, nikafundisha vizuri, mshahara laki nne na sabini, shule ikapata mdororo wa kiuchumi.
Nikahamia shule nyingine binafsi, mshahara laki tatu. Mwezi wa kwanza mwalimu wa mathematics akaajiriwa serikalini, alikuwa rafiki yangu, mkurugenzi akanilaumu kuwa mimi ndiye nilimshawishi kuondoka, nikafungashiwa virago.
Mwaka 2026 nikarudi Ruvuma mwezi wa pili nikawa mwalimu wa kujitolea, mshahara laki mbili kamili.
Ajira za serikali zilipotangazwa nikakutana na NOT SELECTED.
Hii clip imenifundisha jambo moja Muhimu sana, mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma single Maza ni wengi mno, kila nyumba ina single Maza.Pole sana mkuu.
Kimsingi hebu hamia upande mwingine wa maisha mfano kilimo.
Nimeona upo mikoa inayolipa kufanya shughuli hizo.
View attachment 3575947
Pole sana mkuu.
Kimsingi hebu hamia upande mwingine wa maisha mfano kilimo.
Nimeona upo mikoa inayolipa kufanya shughuli hizo.
View attachment 3575947
Nimejaribu kulima mahindi mwaka huu ila Bado sijavunaPole sana mkuu.
Kimsingi hebu hamia upande mwingine wa maisha mfano kilimo.
Nimeona upo mikoa inayolipa kufanya shughuli hizo.
View attachment 3575947
Simuonea wivu ila nilikuwa nalinganisha tuPole. Pia acha wivu kwa huyo mdogo wako
Ongeza kageraHii clip imenifundisha jambo moja Muhimu sana, mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma single Maza ni wengi mno, kila nyumba ina single Maza.
Wakati najiuliza kwa ni nikagundua hii mikoa ya Maternal system.
Huko Wanaume kazi Yao nikupiga mashine Tu maswala ya kulea usiwaulize
Unawakilisha kundi la wahitimu wengi sana walioko mtaani huku wakikumbwa na msongo mkubwa wa mawazo
Kiukweli kukosa kazi na una elimu huwa inaumiza saanaUnawakilisha kundi la wahitimu wengi sana walioko mtaani huku wakikumbwa na msongo mkubwa wa mawazo.
Mimi nimeshakusamehe ndugu yangu kikubwa ni wewe uniombee tu nipate kaziJapo nimecheka sana namna ulivyokua ukielezea matukio ila pole mkuu na naomba unisamehe kwa kucheka kwangu.