Tofauti ya mwalimu wa masomo ya sanaa dhidi ya mwalimu wa Sayansi

Tofauti ya mwalimu wa masomo ya sanaa dhidi ya mwalimu wa Sayansi

Ila siku ukiajiliwa Shule za kata (serikalini), Mwalimu wa masomo ya Sayansi kazi nyingi kuliko WA arts. Unajikuta Mwalimu Wa masomo ya Sayansi uko peke yako (e.g. physics) Shule nzima.
Sio kweli walimu Wa art siku hizi Wana kazi nyingi kuliko walimu Wa sayansi Kuna rafiki yangu yupo Lindi anasema shuleni kwao Kuna wanafunzi 800+

Walimu Wa phy wapo wawili wanayamudu madarasa na Wana vipindi 4 kwa wiki

Siku hizi unakuta form one wapo wanafunzi 300 alafu wanaosoma sayansi wanafunzi 25 kwaiyo wanakuwa na mkondo mmoja tu kwa sababu siku hizi wanafunzi wanachagua masomo Toka form one
 
Hii clip imenifundisha jambo moja Muhimu sana, mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma single Maza ni wengi mno, kila nyumba ina single Maza.

Wakati najiuliza kwa ni nikagundua hii mikoa ya Maternal system.

Huko Wanaume kazi Yao nikupiga mashine Tu maswala ya kulea usiwaulize
Ongeza ka
Simuonea wivu ila nilikuwa nalinganisha tu
Pata muda fika shule ya sekondari chabruma iliyopo kata ya lilambo unaweza kujitolea hapo nadhani nafasi zipo .

La umekosa tafuta muda zama kambi ya jeshi inayopakana na kijiji kinaitwa lilambo nenda mpaka getini omba kuonana na CO ,wana shule ya msingi ndani ya kambi inaitwa chabruma pale kuna uhaba wa walimu japo ni msingi ila nadhani unaweza kujieleza zaidi unaweza pata nafasi hapo .

Ukiwa hapo keep in touch sana na mkuu wa kambi kwasababu nyumba yake ipo karibu na hizo shule kama umri unaruhusu zama JKT alafu kaanze kujitolea shule za jeshi ukiwa na ganda la JKT ili walau badaye upate hata nafasi ya kujiunga na jeshi la wananchi ikiwa unayo nia pia .

Pole sana sio wewe tu ila ni mfano hai wa watoto wetu wengi hapa nchini jipe moyo ,mwanga umefika lazima kiza kizidi ili urudi nyuma .
 
Kuna privet moja nilipata kazi mkuu Wa shule tu alikuwa anadaiwa madeni lukuki kuanzia walimu mpaka wanafunzi wanamdai kibaya zaidi alikuwa anadaiwa mpaka na wale waturuki wauza vyombo wakawa wakija kumdai anaingia juu ya dar za OFISI yake
Ila Shule zingine Bwana hata hiyo nayo hawana ya kulipa? Pale unapokuta Bosi naye ana njaa anaganga apate hela ya kununua kiwanja
 
Ndio Ruvuma aridhi ni nzuri kweli tatizo Sina hata huo mtaji Wa kuanzia kilimo ndio shida ila mwaka huu nimelima heka mbili msimu ujao nitalima heka 3-5
Lakini Mkuu mbona Ruvuma ina ardhi nzuri na Rutuba ya kutosha? Hukutaka kabisa kushika Jemb
 
Ni bahati tu rafiki angu anafundisha feza na amesoma history usikate tamaa wala kujishusha thamani
 
Ongeza ka

Pata muda fika shule ya sekondari chabruma iliyopo kata ya lilambo unaweza kujitolea hapo nadhani nafasi zipo .

La umekosa tafuta muda zama kambi ya jeshi inayopakana na kijiji kinaitwa lilambo nenda mpaka getini omba kuonana na CO ,wana shule ya msingi ndani ya kambi inaitwa chabruma pale kuna uhaba wa walimu japo ni msingi ila nadhani unaweza kujieleza zaidi unaweza pata nafasi hapo .

Ukiwa hapo keep in touch sana na mkuu wa kambi kwasababu nyumba yake ipo karibu na hizo shule kama umri unaruhusu zama JKT alafu kaanze kujitolea shule za jeshi ukiwa na ganda la JKT ili walau badaye upate hata nafasi ya kujiunga na jeshi la wananchi ikiwa unayo nia pia .

Pole sana sio wewe tu ila ni mfano hai wa watoto wetu wengi hapa nchini jipe moyo ,mwanga umefika lazima kiza kizidi ili urudi nyuma .
ASante saaana kwa ushauri huu na nitaufanyia kazi kwa uhakika
 
Back
Top Bottom