SENIOR TEACHER
Member
- Apr 6, 2026
- 70
- 117
- Thread starter
-
- #21
Sio kweli walimu Wa art siku hizi Wana kazi nyingi kuliko walimu Wa sayansi Kuna rafiki yangu yupo Lindi anasema shuleni kwao Kuna wanafunzi 800+Ila siku ukiajiliwa Shule za kata (serikalini), Mwalimu wa masomo ya Sayansi kazi nyingi kuliko WA arts. Unajikuta Mwalimu Wa masomo ya Sayansi uko peke yako (e.g. physics) Shule nzima.
Ongeza kaHii clip imenifundisha jambo moja Muhimu sana, mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma single Maza ni wengi mno, kila nyumba ina single Maza.
Wakati najiuliza kwa ni nikagundua hii mikoa ya Maternal system.
Huko Wanaume kazi Yao nikupiga mashine Tu maswala ya kulea usiwaulize
Pata muda fika shule ya sekondari chabruma iliyopo kata ya lilambo unaweza kujitolea hapo nadhani nafasi zipo .Simuonea wivu ila nilikuwa nalinganisha tu
Ila Shule zingine Bwana hata hiyo nayo hawana ya kulipa? Pale unapokuta Bosi naye ana njaa anaganga apate hela ya kununua kiwanja
Nisaidie mawazo ya kujiajiri kwa Sasa nipo Lindi mnazi mmojaWatu smart huwa hawaajiriwi serikalini, serikalini wanaenda watu hohe hahe, si umeona mdogo wake?
AmenDah maisha safari ngumu sana yenye mafumbo ya kufanikiwa, utafika pazuri usikate tamaa kaza moyo
Lakini Mkuu mbona Ruvuma ina ardhi nzuri na Rutuba ya kutosha? Hukutaka kabisa kushika Jemb
Najitahidi kutokukata tamaa lakini wap msoto ni mkaliNi bahati tu rafiki angu anafundisha feza na amesoma history usikate tamaa wala kujishusha thamani
ASante saaana kwa ushauri huu na nitaufanyia kazi kwa uhakikaOngeza ka
Pata muda fika shule ya sekondari chabruma iliyopo kata ya lilambo unaweza kujitolea hapo nadhani nafasi zipo .
La umekosa tafuta muda zama kambi ya jeshi inayopakana na kijiji kinaitwa lilambo nenda mpaka getini omba kuonana na CO ,wana shule ya msingi ndani ya kambi inaitwa chabruma pale kuna uhaba wa walimu japo ni msingi ila nadhani unaweza kujieleza zaidi unaweza pata nafasi hapo .
Ukiwa hapo keep in touch sana na mkuu wa kambi kwasababu nyumba yake ipo karibu na hizo shule kama umri unaruhusu zama JKT alafu kaanze kujitolea shule za jeshi ukiwa na ganda la JKT ili walau badaye upate hata nafasi ya kujiunga na jeshi la wananchi ikiwa unayo nia pia .
Pole sana sio wewe tu ila ni mfano hai wa watoto wetu wengi hapa nchini jipe moyo ,mwanga umefika lazima kiza kizidi ili urudi nyuma .