Tofauti ya namba za magari B, C , D

Elimubomba

Senior Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
111
Reaction score
47
Naona tu watu wanasema nataka D au C na wengi hawapendi namba B.
Naomba ufafanuzi hizi, B au C au D zina maana gani katika magari au zinaashiria nini?
 
Naona tu watu wanasema nataka D au C na wengi hawapendi namba B.
Naomba ufafanuzi hizi, B au C au D zina maana gani katika magari au zinaashiria nini?
Kuna wanaoamini kuwa gari ikiwa na namba kadri namba ya gari inavyokuwa ya juu ndivyo gari inavyokuwa nzuri kwa mfano namba D inaashiria kuwa hiyo gari ni mpya kidogo, lakini kiuhalisia sio kweli kwa sababu usajili wa magari unategemea na mwaka ambao gari hilo limeingia katika nchi husika. Katika hali kama hiyo, unaweza kukuta gari ya mwaka 1995 ina namba D ilhali gari ya mwaka 2014 ina namba C, sasa kwa wale wanaonagalia namba, atanunua gari kuu kuu kama atachagua D na kuacha C,
 
Thank you kwa jibu zuri, hata mimi nilikuwa na wasiwasi katika hilo, ila nikaona niwaone wataalamu kabla sijaingia mtumbwini
 
Point ni kua bora anunue la 1995 lililojambiwa sana na MJAPAN kuliko la 2014 lililojambiwa sana na MBONGO.

nadhani kijambo cha MBONGO kinanuka sana
 
izo ni alama za ufaulu kwenye mbio za magari, yenye A yanakimbia sana, yenye D ni mwendo wa kobe, yalifeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…