Kama heading inavyojieleza naomba kuelimishwa tofauti ya NGO na Foundation na zinasajiliwa wapi? Na je mawakili wanaandaa Memart zake? Gharama ya chini inaanzia bei gani? Na kama kuna anayejuwa gharama za kusajili anijuze pia.
Zinasajiriwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na watoto, kupitia idara ya Asasi zisizo za kiserikali, ingia kwenye tovuti yao wameweka kila kitu, kianzia utaratibu, fomu, mahitaji na gharama zote