je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Hawa Qatar sijui wamepataje hii nafasi ya kuwa mwenyeji wa mashindano makubwa kama haya. Timu yao ya Taifa hata Ihefu ina afadhali kubwa mno, mpaka dk. ya 30 washapigwa mbili bila.
Nadhani hawa ndiyo vibonde kuliko timu zote katika mashindano haya. Hii mechi wasipo pigwa hata goli tano sidhani
Nadhani hawa ndiyo vibonde kuliko timu zote katika mashindano haya. Hii mechi wasipo pigwa hata goli tano sidhani