Watu wasahaulifu sana, Brazil alikula saba sembuse hawa kula mbili?hawa qatar sijui wamepataje hii chance ya ku hosts mashindano makubwa kama haya.Timu yao ya taifa hata Ihefu ina afadhali kubwa mno, mpaka dk ya 30 washapigwa mbili bila
Nadhani hawa ndio vibonde kuliko timu zote katika mashindano haya
Hii mechi wasipo pigwa hata goli tano sidhani