Tofauti ya Qatar na Taifa Stars ni majina tu uwezo wa mpira ni zero

Tofauti ya Qatar na Taifa Stars ni majina tu uwezo wa mpira ni zero

hawa qatar sijui wamepataje hii chance ya ku hosts mashindano makubwa kama haya.Timu yao ya taifa hata Ihefu ina afadhali kubwa mno, mpaka dk ya 30 washapigwa mbili bila

Nadhani hawa ndio vibonde kuliko timu zote katika mashindano haya

Hii mechi wasipo pigwa hata goli tano sidhani
Watu wasahaulifu sana, Brazil alikula saba sembuse hawa kula mbili?
 
Wew Qatar wamekuzid kimpila mbali sana kwanin tunapenda Kulinganisha kile tunachokiona kwenye ligi zetu za vumbi na kile kinachofanyika Kwa wezetu tukaona ni sawa na chetu litimu lenu la taifa huwalinafungwa had na Burundi,Malawi,juzi tu limeponea chupu chupu lifungwe na Somalia afu unakuja kujilinganisha na Qatar acheni dharau tumeshindwa kushiriki kweny michuano ya Africon yenye timu 24 tutaweza kwenda wap
 
hawa qatar sijui wamepataje hii chance ya ku hosts mashindano makubwa kama haya.Timu yao ya taifa hata Ihefu ina afadhali kubwa mno, mpaka dk ya 30 washapigwa mbili bila

Nadhani hawa ndio vibonde kuliko timu zote katika mashindano haya

Hii mechi wasipo pigwa hata goli tano sidhani
Mlungula mkubwa ulitumika.
 
Back
Top Bottom