Acha hizo kataa ni kama maku tu hamna kitu toka Kombe la Dunia hawq ndio maku yaani samakuhawa qatar sijui wamepataje hii chance ya ku hosts mashindano makubwa kama haya.Timu yao ya taifa hata Ihefu ina afadhali kubwa mno, mpaka dk ya 30 washapigwa mbili bila
Nadhani hawa ndio vibonde kuliko timu zote katika mashindano haya
Hii mechi wasipo pigwa hata goli tano sidhani
Kwwli kabisa hawa ni taifa stars kabisa sema wana hela tuuhawa qatar sijui wamepataje hii chance ya ku hosts mashindano makubwa kama haya.Timu yao ya taifa hata Ihefu ina afadhali kubwa mno, mpaka dk ya 30 washapigwa mbili bila
Nadhani hawa ndio vibonde kuliko timu zote katika mashindano haya
Hii mechi wasipo pigwa hata goli tano sidhani
Hela tuu mwanawaneKwani kuandaa world cup mpaka uwe unajua mpira.
Kuwa na timu imara na kuandaa mashindano ya kombe la Dunia havina uhusiano kabisaahawa qatar sijui wamepataje hii chance ya ku hosts mashindano makubwa kama haya.Timu yao ya taifa hata Ihefu ina afadhali kubwa mno, mpaka dk ya 30 washapigwa mbili bila
Nadhani hawa ndio vibonde kuliko timu zote katika mashindano haya
Hii mechi wasipo pigwa hata goli tano sidhani
Ila nao wameoza sanaKuwa na timu imara na kuandaa mashindano ya kombe la Dunia havina uhusiano kabisaa
Timu yao yote hawana wachezaji wanaocheza kwenye ligi zenye purukushani nyingi kama Ulaya.Ila nao wameoza sana
kuna mtanzania kachezea qatar anaitwa afif ni mtoto wa hassan afif aliyewahi kuchezea simba na akawa kocha wa simba piahawa qatar sijui wamepataje hii chance ya ku hosts mashindano makubwa kama haya.Timu yao ya taifa hata Ihefu ina afadhali kubwa mno, mpaka dk ya 30 washapigwa mbili bila
Nadhani hawa ndio vibonde kuliko timu zote katika mashindano haya
Hii mechi wasipo pigwa hata goli tano sidhani
Huyo hapo....kuna mtanzania kachezea qatar anaitwa afif ni mtoto wa hassan afif aliyewahi kuchezea simba na akawa kocha wa simba pia
Huyo hapo....kuna mtanzania kachezea qatar anaitwa afif ni mtoto wa hassan afif aliyewahi kuchezea simba na akawa kocha wa simba pia
Cha kushangaza, Afrika waarabu ndio vinara kwenye soka....Waarabu nje ya resources za mafuta na gas ndio hivyo tena.
Wameweka rekodi. Rekodi ni rekodi tu, iwe mbaya au nzuriQatar ndio timu ya kwanza mwenyeji kufingwa kwenye mechi ya uzinduzi baada ya miaka 70
yes anaitwa akram afifHuyo hapo....View attachment 2422701