Tofauti ya rangi za binadamu: Ni nini siri yake ?

Nmeandika hii makala kujaribu kugusia aliyoyahoji Equation x katika uzi wake aliouliza swali


Vishu Mtata
mshana
Shukrani kwa tag kali.

Mkuu hilo la mazingira ya kua binadamu alianzia maeneo yetu haya naona bado kuna utata juu ya hali ya hewa ya wakati huo.

Hii East Africa ni maeneo gani yenye joto kali kiasi cha binadamu kushindwa kuhimili hadi awe mweusi tii?
Mfano hii mikoa ya pwani inayosifika kwa joto kali, zamani kidogo tu hapo miaka ya 80 unaambiwa kuna maeneo yalikua pori lenye msitu mnene lenye wanyama wa mwituni kabisa.

Vipi kwa kipindi hicho ambacho hata binadamu hana shughuli nyingi, hakati miti hovyo, hajengi, hana viwanda, si ajabu hata moto hakua anaujua, haharibu vyanzo vya maji yaani nature imetamalaki, kweli kunaweza kua na joto kali kama la sasa??

Au E.A ya Pangaea??
 
Linaleta mashiko, story imepangika.

Kwahiyo, mabadiriko yanakadiriwa kuchukua miaka mingapi?
 
Moja vitu vigumu kuujua ukweli wake basi ni kujua asili ya dunia hii
Hakuna namna tuweza kurudi nyuma kujua nini kilitokea na kufanya haya yote

Angalau sayansi inaweza kutengeneza theories mbalimbali
Tofauti na sayansi na historia ya kale na dini kwa Ujumla hatuna majibu ya moja kwa moja ya asili ya dunia yetu
 
naam nadhanu umekimega kwa urefu kidogo japo nayo ni dhana kama wakina sarah tishkof na kina spancer walivyojaribu kuidadavua lakini mfano kwenye mrengo wa dini hakuna anaeamini hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…