Mkuu kasome Biblia au Quran utaona Mungu alianza kuumba vitu kabla ya watu. Ndio protokali zilivyo, weka miundombinu kwanza ili watu wapate pa kupita kujipatia maendeleo.
Yaani Mkuu anayekupa samaki hafai, upewe vitendea kazi ili uweze kuwafaidi samaki hata huyo mpaji akiwa hayupo.
Sasa Mkuu ukisahau yote niliyosema usisahau kwamba JPM anaangalia mbali sana, anaiona Tanzania ikijidhihirisha kama Eden Mkuu. JPM anatutaka tuione Tanzania iliyonona, yenye maziwa na asali. Ndio maana anathamini miundombinu ili kwa pamoja sasa tujijenge kwa urahisi na tuijenge nchi yetu iliyobarikiwa kumpata yeye kama kiongozi.
Anyway niwabakizie wadadavuzi wengine wamalizie, nisimalize uhondo wote wa hiki chuma kutoka Chato.
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Mkuu kuna wayahudi walimkataa Yesu wao. Yani myahudi mwenzao wakamkataa katakata.mkuu umepigilia msumari mmoja atakaebisha atakua alimsulubisha Yesu
Kawaida hats mtenda maovu anajaribu kujionyesha ni mwema.Hivyo sishangai kuona upande moja uko sawa.mkuu umepigilia msumari mmoja atakaebisha atakua alimsulubisha Yesu
Asante umeelezea vizuri sana sema tuu kuna watu hawapendi kusikia maneno kama hayo.Mkuu kasome Biblia au Quran utaona Mungu alianza kuumba vitu kabla ya watu. Ndio protokali zilivyo, weka miundombinu kwanza ili watu wapate pa kupita kujipatia maendeleo.
Yaani Mkuu anayekupa samaki hafai, upewe vitendea kazi ili uweze kuwafaidi samaki hata huyo mpaji akiwa hayupo.
Sasa Mkuu ukisahau yote niliyosema usisahau kwamba JPM anaangalia mbali sana, anaiona Tanzania ikijidhihirisha kama Eden Mkuu. JPM anatutaka tuione Tanzania iliyonona, yenye maziwa na asali. Ndio maana anathamini miundombinu ili kwa pamoja sasa tujijenge kwa urahisi na tuijenge nchi yetu iliyobarikiwa kumpata yeye kama kiongozi.
Anyway niwabakizie wadadavuzi wengine wamalizie, nisimalize uhondo wote wa hiki chuma kutoka Chato.
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Sawa lakini uhalisia unahitaji msaada wa samaki kidogo na nyavuMkuu kasome Biblia au Quran utaona Mungu alianza kuumba vitu kabla ya watu. Ndio protokali zilivyo, weka miundombinu kwanza ili watu wapate pa kupita kujipatia maendeleo.
Yaani Mkuu anayekupa samaki hafai, upewe vitendea kazi ili uweze kuwafaidi samaki hata huyo mpaji akiwa hayupo.
Sasa Mkuu ukisahau yote niliyosema usisahau kwamba JPM anaangalia mbali sana, anaiona Tanzania ikijidhihirisha kama Eden Mkuu. JPM anatutaka tuione Tanzania iliyonona, yenye maziwa na asali. Ndio maana anathamini miundombinu ili kwa pamoja sasa tujijenge kwa urahisi na tuijenge nchi yetu iliyobarikiwa kumpata yeye kama kiongozi.
Anyway niwabakizie wadadavuzi wengine wamalizie, nisimalize uhondo wote wa hiki chuma kutoka Chato.
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Sawa lakini uhalisia unahitaji msaada wa samaki kidogo na nyavu
Mkuu unapisema mungu aliumba vitu kwanza una maana ipi? Vitu vinaumbwa au vinatengenezwa? Hata hivyo huyo mungu aliumba vitu hivyo kwa gharama ya kutoka wapi? Kama ni kwa gharama yake kwa nini wewe utengeneze vitu kwa kutukamua kwa mlolongo wa kodi nyingi? Kama unataka kumuiga mungu ni vizuri sasa tumia gharama zako kwanzaMkuu kasome Biblia au Quran utaona Mungu alianza kuumba vitu kabla ya watu. Ndio protokali zilivyo, weka miundombinu kwanza ili watu wapate pa kupita kujipatia maendeleo.
Yaani Mkuu anayekupa samaki hafai, upewe vitendea kazi ili uweze kuwafaidi samaki hata huyo mpaji akiwa hayupo.
Sasa Mkuu ukisahau yote niliyosema usisahau kwamba JPM anaangalia mbali sana, anaiona Tanzania ikijidhihirisha kama Eden Mkuu. JPM anatutaka tuione Tanzania iliyonona, yenye maziwa na asali. Ndio maana anathamini miundombinu ili kwa pamoja sasa tujijenge kwa urahisi na tuijenge nchi yetu iliyobarikiwa kumpata yeye kama kiongozi.
Anyway niwabakizie wadadavuzi wengine wamalizie, nisimalize uhondo wote wa hiki chuma kutoka Chato.
Mkuu unapisema mungu aliumba vitu kwanza una maana ipi? Vitu vinaumbwa au vinatengenezwa? Hata hivyo huyo mungu aliumba vitu hivyo kwa gharama ya kutoka wapi? Kama ni kwa gharama yake kwa nini wewe utengeneze vitu kwa kutukamua kwa mlolongo wa kodi nyingi? Kama unataka kumuiga mungu ni vizuri sasa tumia gharama zako kwanza
ILI UPATE MAZIWA MENGI MLISHE NGOMBE ASHIBE KWANZA
Nadhani muda umefika wa Watanzania kuacha kuchagua chama Bali Sera za chama zinazoweza kutupa afueni hata tukiwa masikini.Mambo ya chama gani si mhimu majira haya tena. Tusihofu kujaribu Sera mpya kama zitaimarisha utu wetu na Mali zetu.Kuna baadhi wanakejeli Sera za wagombea wengine lakini ukisikiliza vizuri unawashangaa hata hao wamobezaNimefuatilia sana sera za hivi vyama viwili nimegundua kuna tofauti kubwa sana na hii inaweza kutuchanganya sisi wapiga kura tusijue sera ipi inatufaa kwa maslahi yetu. CCM wao wanasimamia maendeleo ya vitu CHADEMA wao wanasimamia maendeleo ya watu.
Hapa sasa bila wajuzi wa kuzichambua hizi sera wapiga kura wengi wenye kukosa maarifa ya utambuzi watashindwa kujua wapi panastahili kwenye maendelo ya mtu au vitu kwa wale wajuzi wa kuchambua sera tunaomba msaada wenu ili tupate mwangaza wa wapi tuelekee, nawakilisha.