Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Kwa wahenga waliozaliwa zama za mawe mpaka mwishoni mwa miaka ya 90 Mke wa kaka yako, rafiki yako ndugu walikua wakiitwa shemeji, Pia Mume wa Dada yako,rafiki au ndugu walikua wakiitwa shemeji
Lakini ghafla kibao kimebadilika hiki kizazi cha Miaka ya 2000 kuja 2020's kimekuja na utambulisho mpya, ambapo sasa kuna msamiati unaitwa "Shemdarlin"
sasa tupate tofauti ya shemdarlin na shemeji
Nyuma ya miaka ya 2000Kizazi cha lini?
Shemdarling ndio wale ambao "tunakulaga"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mke wa kaka/mdogo wako au mume wa dada/mdogo wako huwezi kumuita shemdarling. Ukiona mmeanza kuitana ivo na hao wahusika hapo juu ujue mnaenda kuvunja undugu very soon.
Shemdarling mnaweza kuitana na gf/bf wa rafiki yako na ukiona ivo jua mnaweza kulana muda wowote.
Unforgetable
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie sio kizazi cha 2000 lakini natumiaga shemdarling [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Shemdarling wanajuaga kujali kuliko darling!
Ina maana shemegi mpenzi.....???Shemu Ni kama hujazoeana na shemeji yako..
Shemdarling anaweza kukufuta maji na taulo ukitoka kuoga,
Au ukivaa bukta mkujege ukicheza cheza atakuambia shemdarling unamkujejeeeeeeeeeeeeee
Na zaidi mnaweza kulala pamoja muhusika akisepa
Sent using Jamii Forums mobile app