Hajauliza Namna ya kuwa muislamKwanza muamini Mungu mmoja tu ambaye hakuzaa wala kuzaliwa ,wala hana mwana wala anayefanana naye,na amini kiwa muhmaad S.a.w ni mtume wake pamoja na mitume kabla yake issa(Yesu),musa,ibrahm mpka adam kuwa hawa ni mitume wa Mungu wametumwa kuufikisha ujembe mmoja wa kuabudiwa mungu mmoja tu na hawajawahi tofautiana.
then tutakupa utafauti murua wa sunn na shea
karibu sana
Hapo umetetea sunni na kuponda shia sisi tunataka kujua tofauti zao na sio ubora wao.TOFAUTI IPO:
Kwa kifupi ulisikia SUNNI maana yake wale WAISLAM wanaojinasibisha na kuihuisha Sunnah yaani MAFUNDISHO YA DINI KAMA ALIVYOYAISHI MTUME WA ALLAH REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE....
SHIA ilianza kama VUGUVUGU la kisiasa then baadaye kundi hili likawa na misingi yake ya THEOLOGIA na kwa wasomi wengi wa KIISLAM [JAMUHURIL ULAMAAH] wanaliona kundi hili kuwa sii WAISLAM bali ni kama CULT kwa sababu mafundisho yao mengi yapo kinyume na mafundisho ya Mtume wa Allah Rehema na amani ziwe juu yake.
Sijatetea b as li nimekueleza kwa kifupi kwa kila upande.....Hapo umetetea sunni na kuponda shia sisi tunataka kujua tofauti zao na sio ubora wao.
SHIA wanaamini sehemu kubwa ya Sahaba waliritadi baada ya Mtume Rehema na amani ziwe juu yakeSijatetea b as li nimekueleza kwa kifupi kwa kila upande.....
Jibu swali, Usikimbie hojaKwanza muamini Mungu mmoja tu ambaye hakuzaa wala kuzaliwa ,wala hana mwana wala anayefanana naye,na amini kiwa muhmaad S.a.w ni mtume wake pamoja na mitume kabla yake issa(Yesu),musa,ibrahm mpka adam kuwa hawa ni mitume wa Mungu wametumwa kuufikisha ujembe mmoja wa kuabudiwa mungu mmoja tu na hawajawahi tofautiana.
then tutakupa utafauti murua wa sunn na shea
karibu sana
Sioni tofauti kwani wote ni wababaishaji walioingizwa mkenge kwa hadithi za kiarabuWaislamu ninyi hua mnanielewesha vizuri kabisa maswali yangu.
Naomba mnipe tofauti kati ya sunni na sh’ia na mnielezee nini kimesababisha tofauti hizo ziwepo na je hua kuna migongano baina ya hayo makundi mawili?
Tafadhali naomba nielimishwe juu ya hayo masuala adhimu ili nipate kujifunza vyema na nipate uelewa.
Shia walianzia wapi?TOFAUTI IPO:
Kwa kifupi ulisikia SUNNI maana yake wale WAISLAM wanaojinasibisha na kuihuisha Sunnah yaani MAFUNDISHO YA DINI KAMA ALIVYOYAISHI MTUME WA ALLAH REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE....
SHIA ilianza kama VUGUVUGU la kisiasa then baadaye kundi hili likawa na misingi yake ya THEOLOGIA na kwa wasomi wengi wa KIISLAM [JAMUHURIL ULAMAAH] wanaliona kundi hili kuwa sii WAISLAM bali ni kama CULT kwa sababu mafundisho yao mengi yapo kinyume na mafundisho ya Mtume wa Allah Rehema na amani ziwe juu yake
Walianzia sunni baada ya kuuawa kwa mkwe wa muhamad. Hata hivyo, sunni walianzia kwa ukatoliki uliowapatia biblia waliyokopi na kuandika kuraniShia walianzia wapi?