Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Ndio maana.... Ukatoliki ni baba wa UislamWalianzia sunni baada ya kuuawa kwa mkwe wa muhamad. Hata hivyo, sunni walianzia kwa ukatoliki uliowapatia biblia waliyokopi na kuandika kurani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana.... Ukatoliki ni baba wa UislamWalianzia sunni baada ya kuuawa kwa mkwe wa muhamad. Hata hivyo, sunni walianzia kwa ukatoliki uliowapatia biblia waliyokopi na kuandika kurani
Nakubaliana nawe. Ongeza kuwa ni baba, mama na Mungu wa uislam. Huoni hawa wakumbafu wa mihadhara wanahubiri Yesu na biblia badala ya mtume wao na kurani. Wamelaaniwa akina Mazinge na matapeli wenzakeNdio maana.... Ukatoliki ni baba wa Uislam
Sasa wewe badala ya kumsaidia Muulizaji inampotosha....Sioni tofauti kwani wote ni wababaishaji walioingizwa mkenge kwa hadithi za kiarabu
Umepotoshwa na aliyekujibu swali lako.....Ndio maana.... Ukatoliki ni baba wa Uislam
Hakuna tofauti. Nilisema shia ilianzishwa baada ya kuawa mkwe wa muhamad ukweli uongo? Pia narudia kuwa zote ni mali za waarabu zinazotegemea hadithi na masimulizi ya kiarabu kupata uhalali. Nadhani hii inakutoshaSasa wewe badala ya kumsaidia Muulizaji inampotosha....
Anataka kujua TOFAUTI kati ya pande hizi mbili....
Hayo mengine unayatoa wapi?
TOFAUTI IPO:
Kwa kifupi ulisikia SUNNI maana yake wale WAISLAM wanaojinasibisha na kuihuisha Sunnah yaani MAFUNDISHO YA DINI KAMA ALIVYOYAISHI MTUME WA ALLAH REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE....
SHIA ilianza kama VUGUVUGU la kisiasa then baadaye kundi hili likawa na misingi yake ya THEOLOGIA na kwa wasomi wengi wa KIISLAM [JAMUHURIL ULAMAAH] wanaliona kundi hili kuwa sii WAISLAM bali ni kama CULT kwa sababu mafundisho yao mengi yapo kinyume na mafundisho ya Mtume wa Allah Rehema na amani ziwe juu yake
Acha kumfananisha Yesu na vitu vya ajabu ChiefKwanza muamini Mungu mmoja tu ambaye hakuzaa wala kuzaliwa ,wala hana mwana wala anayefanana naye,na amini kiwa muhmaad S.a.w ni mtume wake pamoja na mitume kabla yake issa(Yesu),musa,ibrahm mpka adam kuwa hawa ni mitume wa Mungu wametumwa kuufikisha ujembe mmoja wa kuabudiwa mungu mmoja tu na hawajawahi tofautiana.
then tutakupa utafauti murua wa sunn na shea
karibu sana
Yesu na mm hatuna utafauti wowote wa kibinaadamAcha kumfananisha Yesu na vitu vya ajabu Chief
Acha kumfananisha Yesu na Nabii bandia chiefYesu na mm hatuna utafauti wowote wa kibinaadam
Alikuwa anakula na kwenda haja kama mm
Alikuwa anahisi maumivu na hasira kama binaadam wengine
Yeye si lolote wala si chochote zaid ya unabii kwa watu wa israil tu na si Mungu wa mwana wa mungu....
Kama PROTESTANTS/ANGLICAN (Anglatère) walivyojichomoa kuupinga utaratibu na mambo ya ROMAN CATHOLICS. Baadaye protestants wakajitokeza LUTHERAN mwasisi akiwa Martin Lutherking (tafakari jina), kuna ORTHODOX (base iko Ussr/Urusi) Wakaendeleza mtifuano na tofauti hadi sasa madhehebu hayaeleweki idadi:TOFAUTI IPO:
Kwa kifupi ulisikia SUNNI maana yake wale WAISLAM wanaojinasibisha na kuihuisha Sunnah yaani MAFUNDISHO YA DINI KAMA ALIVYOYAISHI MTUME WA ALLAH REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE....
SHIA ilianza kama VUGUVUGU la kisiasa then baadaye kundi hili likawa na misingi yake ya THEOLOGIA na kwa wasomi wengi wa KIISLAM [JAMUHURIL ULAMAAH] wanaliona kundi hili kuwa sii WAISLAM bali ni kama CULT kwa sababu mafundisho yao mengi yapo kinyume na mafundisho ya Mtume wa Allah Rehema na amani ziwe juu yake.
Ali alipenda madaraka tu, kwa alimuoa tu mjukuu wa mtume.Shida ilianzia kwenye kifo cha bwana mtume Muhammad (s.a.w) sunni wanakubaliana na wale viongozi waliofatia baada ya kifo cha mtume, kuanzia Abubakar, umar, uthman, kisha ali.. Sasa shia wao wanaona kulifanyanyika uhuni ali alinyimwa uongozi, hivyo wao ni wafuasi wa ali.. Hao wengine wanaona ni wazinguaji(tutumie lugha hii mbovu)
Kumbe ni vitabu kama novel tu, MASHINDANO KAMA YA MAGARI TU.Nakubaliana nawe. Ongeza kuwa ni baba, mama na Mungu wa uislam. Huoni hawa wakumbafu wa mihadhara wanahubiri Yesu na biblia badala ya mtume wao na kurani. Wamelaaniwa akina Mazinge na matapeli wenzake
Hapo umetetea sunni na kuponda shia sisi tunataka kujua tofauti zao na sio ubora wao.
Waislamu ninyi hua mnanielewesha vizuri kabisa maswali yangu.
Naomba mnipe tofauti kati ya sunni na sh’ia na mnielezee nini kimesababisha tofauti hizo ziwepo na je hua kuna migongano baina ya hayo makundi mawili?
Tafadhali naomba nielimishwe juu ya hayo masuala adhimu ili nipate kujifunza vyema na nipate uelewa.
TOFAUTI IPO:
Kwa kifupi ulisikia SUNNI maana yake wale WAISLAM wanaojinasibisha na kuihuisha Sunnah yaani MAFUNDISHO YA DINI KAMA ALIVYOYAISHI MTUME WA ALLAH REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE....
SHIA ilianza kama VUGUVUGU la kisiasa then baadaye kundi hili likawa na misingi yake ya THEOLOGIA na kwa wasomi wengi wa KIISLAM [JAMUHURIL ULAMAAH] wanaliona kundi hili kuwa sii WAISLAM bali ni kama CULT kwa sababu mafundisho yao mengi yapo kinyume na mafundisho ya Mtume wa Allah Rehema na amani ziwe juu yake
Wengi kutoka wapi?... Umekwenda mataifa ya Uajemi? kuona hili dhehebu nguvu yake.na kwa wasomi wengi wa KIISLAM [JAMUHURIL ULAMAAH] wanaliona kundi hili kuwa sii WAISLAM bali ni kama CULT
Siyo sahihi,1. Baada ya kifo cha Muhammad, kulitokea ugomvi juu ya nani ambaye anapaswa kushika madaraka, upande mmoja ulitaka ndugu yake (binamu yake) auongoze umma wa waislamu, upande wa pili ulitaka Abubakar ambaye alikuwa swahiba wake mtume achukue madaraka.
Siyo Alliy ni mjukuu wa mtumeUgomvi wa kugombea madaraka baina ya Ali na Muawiyah ndiyo kilichozaa madhehebu hayo,ugomvi ulivyonoga huko vizazi vya mbele ndiyo tofauti za kiitikadi zikawa kubwa
Hapana, alioa mtoto wa mtume, fatma, lakini pia alikuwa ni binamu wa mtume.Ali alipenda madaraka tu, kwa alimuoa tu mjukuu wa mtume.
Naomba Nieleweshwe hapa. Hapa nchini, wengi wanafuata upande upi!?Utofauti mkuu ni katika hadithi na falsafa wanazoziamini, tofauti nyingi zitalenga humo.
1. Baada ya kifo cha Muhammad, kulitokea ugomvi juu ya nani ambaye anapaswa kushika madaraka, upande mmoja ulitaka ndugu yake (binamu yake) auongoze umma wa waislamu, upande wa pili ulitaka Abubakar ambaye alikuwa swahiba wake mtume achukue madaraka.
Hata hivyo upande wa abubakar ukashinda (hawa ndio wakawa sunni), upande wa waliotaka binamu yake mtume achukue madaraka ndio ukawa shia .
2. Hizi tofauti zilikuja kuleta tofauti za kitheolojia au kifalasafa ikapelekea kutofautiana kwa baadhi ya mapokeo.ya hadithi ambayo yameleta utofauti unaonekana leo, kwa mfano shia wanaamini uhalala wa ndoa za mkataba wa muda mfupi (muta) lakini sunni hawaamini hilo.
Asante, kimfumo mtume alipenda kuwapa wajukuu mamlaka sasa yeye kwa shinikizo ya mkewe akataka madaraka.Na kwa kuwa alipaelewa pale vyema akaonelea aanzishe falsafa zake.Uchu wa uongozi sikui madaraka.Hapana, alioa mtoto wa mtume, fatma, lakini pia alikuwa ni binamu wa mtume.