Hao watu ni wapotoshaji mnoo lazima wakemewe kwa nguvu zote
Shia sijui niwaite ni wazushi au niwaitaje?! Sijui niwaitaje?!
Kwanza vitabu vyao wanavificha sana! Huwezi kuingia maktaba yao na kusoma vitabu vyao kama wewe si Shia! Kwa nini wanavificha vitabu vyao vingi? Wanaogopa nini?
Na ndiyo maana utawasikia wakitamka hadharani kama kuna kitabu chochote cha Ulamaa wa kishia kasema hivi tutatoa zawadi! Kwa kuwa wanajua vitabu vyao vingi hawaruhusu asiye Shia avisome au vidondokee mikononi mwao hivyo hawataraji yoyote atakuja na ushahidi. Kwa misingi hiyo wanatengeneza mazingira ili waonekane kama wanazushiwa mambo na wanaonewa.
Hatusambazi chuki lakini wana mitizamo ya ajabu sana ambayo inazalisha chuki na dharau pasipo na haki ya aina yoyote ya wao kufanya hivyo!
Nilibahatika kusoma kitabu chao kimoja kinaitwa Usulul Kahfi aisee! Kwanza wanawaita Sunni ni mbwa! Na wanasema Imam Mahdi akija si kwamba atapambana na masihi ddajal tu bali atawachinja sana sunni na nguruwe pia! Yaani Sunni na nguruwe ni kapu moja!
Na kwao ndoa za Mutaa zimehalalishwa!! Hadithi zao za ajabu za kuunga unga!! Hazina mtiririko/mapokeo kama ukisoma za Bukhari au Imam Muslim au Imam Al Bayhaqii n.k
Na ukienda maktaba zao hata ukijitambulisha mi sunni jamani ni muislam mwenzenu nimekuja kusoma vitabu, hawakuruhusu! Kumbe wana kadi kwa shia wote! Vinawatambulisha wao ni akina nani pia! Kwa sababu wamefanyiana sensa wanajuana wote wanaokaa dar!
Tofauti na sisi sunni, vitabu vyetu vipo wazi wala havifichwi.
Sina lengo baya ila wao wanashahabiana na Wayahudi: Wayahudi huruhusiwi kusoma vitabu vyao kama wewe si myahudi kwa sababu wanavificha! Mpaka idhihirike kwao wewe ni Myahudi ndipo utakapovisoma. Ila sherehe zao watakualika tu utahudhuria. Shia nao hawakuruhusu usome vitabu vyao kama wewe si Shia ila sherehe zao watakualika utahudhuria tu!
Na Usul Kahfi kitabu chao ni miongoni mwa vitabu vyao vilivyobahatika kudondokea mikononi mwa masheikh wa ki sunni. Na kuhadaa kwao ni ibada na ni jambo jema hususani kumhadaa msunni.
Nashindwa kabisa kuwaelewa!