Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Habari wana Jf
Hivi kuna hii tabia ya watu tofauti kuchanganya wadhifa wa watu bila kujitambua.
Ni nini hasa tofauti kati ya superstar(staa) na celebrity(mtu maarufu).
Nahisi itasaidia wengi ili wasiendele kujichanganya!
Karibuni tupeane mawazo