Tofauti ya Suzuki Escudo na Suzuki Grand Vitara/Vitara

Tukilejea mada yetu about three yrs + ago, bado namiliki gari hii na ni imara sana about 16 yrs ago. Kweli itatuweka huruView attachment 2009982
Mi yangu najiuliza..niipeleke service au niiuze..
Kuna gari nimeona humu zinauzwa 8m za kisasa, sasa najiuliza sijui zitavumilia kama hii
 
Mi yangu najiuliza..niipeleke service au niiuze..
Kuna gari nimeona humu zinauzwa 8m za kisasa, sasa najiuliza sijui zitavumilia kama hii
Huwezi kupata gari imara ya tolei hilo. Watu wamesha nunua na kuegesha kama mara tatu, mimi hii inadunda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…