Tofauti ya Suzuki Escudo na Suzuki Grand Vitara/Vitara

Tofauti ya Suzuki Escudo na Suzuki Grand Vitara/Vitara

Escudo Vitara ndo gari gani? Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
Tukilejea mada yetu about three yrs + ago, bado namiliki gari hii na ni imara sana about 16 yrs ago. Kweli itatuweka huru
JPEG_20211114_104441_4244046996021878545.jpg
 
Mi yangu najiuliza..niipeleke service au niiuze..
Kuna gari nimeona humu zinauzwa 8m za kisasa, sasa najiuliza sijui zitavumilia kama hii
Huwezi kupata gari imara ya tolei hilo. Watu wamesha nunua na kuegesha kama mara tatu, mimi hii inadunda tu.
 
Back
Top Bottom