Tofauti ya switch ya kutumia ufunguo na ya kubonyeza

SAMAP

Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
45
Reaction score
17
Mwenye ujuzi ninaomba kufahamu tofauti ya switch ya kuwashia gari kati ya ile ya kutumia ufunguo na ile ya kubonyeza. Kwa kuzingatia uimara wake, matengenezo, kwenye suala la usalama.
Screenshot_2018-12-06-12-07-32.jpeg
Screenshot_2018-05-07-18-21-25.jpeg
 
Tofauti ipo kubwa tuu.lkn kwa haraka haraka achana na push to start ..tatizo kubwa ni garama funguo ikipotea.laki 5 ni suala la kawaida tuu
Utaalamu hapa unahitajika. Wenye ujuzi tafadhali mtufahamishe
 
M

Mkuu hapo tofauti ipo sehem chache tuu..kila kitu ni sawa tofauti ni hapo kwenye push to start na huwa kuna control kama mbili hivi ndio zinaongezeka.
 
Asante mkuu
 
Ninasubiri ushauri wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Start stop engine ni mfumo mpya wa magari mapya na faida yake ni kuwa kila unaposimama ingine huzima na kuwaka pindi unapoondoka.
Kuhusu usalama wake ni mdogo na inachukua sekunde mbili tu kuibiwa na haivunjwi bali inachukuliwa kiulaini tofauti na yenye funguo ingawa pia wakitaka inaibiwa tu pia.
Dunia inabadilika kwa technologies kila mwaka kwa hiyo nakushauri nenda na mdundo tu

Sent from my SM using Tapatalk
 
Mhhh mkuu hembu dadavua vizuri hapo unaposema unaposimama engine inazima inazimaje?? Yaani inazima bila kuzimwa??
 
Ndio maana ikaitwa start and stop ingine
Unapokuwa barabarani pindi gari inaposimama inajizima yenyewe na unapotaka kuondoka tena unakanyaga mafuta tu na gari inawaka.
Kwanza ni kusaidia hali ya hewa kwa emission na pili unaokoa mafuta

Sent from my SM using Tapatalk
 
Ndio maana ikaitwa start and stop ingine
Unapokuwa barabarani pindi gari inaposimama inajizima yenyewe na unapotaka kuondoka tena unakanyaga mafuta tu na gari inawaka.
Kwanza ni kusaidia hali ya hewa kwa emission na pili unaokoa mafuta

Sent from my SM using Tapatalk
Mkuuu unafaham unachokiongea?? Udhawahi endesha gari au panda gari yenye PUSH to START?? maana unavyoviongea havipo kabisaa..

Hembu elezea au unaposoma soma vizuri..unachokiongea hakipo kabisaaa na niuongo
 
Unaposema ni uongo ndio unanijichanganya kabisa
Gari nyingi zinakuja kama standard siku hizi na nimeziendesha sana ni gari mpya
Nimeendesha kuanzia aina zote za Range na mpaka Skoda na jags
Labda hatuelewani lugha tu
3fafb12ee47d6af1f0f2618f96a9f641.jpg

Sent from my SM using Tapatalk
 
Mkuuu unafaham unachokiongea?? Udhawahi endesha gari au panda gari yenye PUSH to START?? maana unavyoviongea havipo kabisaa..

Hembu elezea au unaposoma soma vizuri..unachokiongea hakipo kabisaaa na niuongo
Nimekuelewa unachoongelea na ni tofauti kati ya hizo moja ni old system na ninayoongelea ni new models sorry nimekupata ila usiniite muongo tena alright

Sent from my SM using Tapatalk
 
Nimekuelewa unachoongelea na ni tofauti kati ya hizo moja ni old system na ninayoongelea ni new models sorry nimekupata ila usiniite muongo tena alright

Sent from my SM using Tapatalk
Hembu nambie hizo new model ni za mwaka gani?? Na old ni mwaka gani??..hembu dadavua mkuu ili twende wote wengine sie tunashinda sana na hizi vyuma..coz nishakutana mpaka na gari ya mwaka 2017 lkn huo mfumo wako wa style hiyo sijauona kabisa..wewe uliuona kwenye gari gani??.na ya mwaka gani
 
Start stop system imeanza muda sasa kama miaka 10 iliyopita kwa baadhi ya magari.
Na zingine zikifuatia kama Bentley ambao walianza 2016

Na magari mengi yana mfumo huu kwa sasa.
Mimi binafsi niko London sio mgeni kwa hii system kwani naendesha kila siku
Nina Range ya 2017 na system hii inayo
Pia nimeendesha jaguar xf na xj ambazo waliweka hiyo sytem tangu 2011.

Ni hivi kama ni manual unaposimama kwenye traffic lights kwa mfano, ukiweka neutral na umesimama engine inazima na pindi utapokanyaga clutch na kuweka gear gari inawaka tena.

Kama ni automatic pindi unaposimama tu engine inajizima na kuwaka pindi unapokanyaga accelerator
Tuko pamoja
Najua kuna watu wanazo huko ila labda hujakutana nazo bado.
Hii chini ni Range Rover evoque ya mwaka 2017 nikiwa njiani na ni auto ina system hiyo.

Kwa uelewa zaidi jaribu ku Google utaelewa exactly how it works na ni zipi zina system hiyo.
Kwa technology kwa sasa kama hujaiona gari

Sent from my SM using Tapatalk
16ac04a048164fa3fb07fd9f2d976f10.jpg
 
Back
Top Bottom