Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Out of the topicStart stop system imeanza muda sasa kama miaka 10 iliyopita kwa baadhi ya magari.
Na zingine zikifuatia kama Bentley ambao walianza 2016
Na magari mengi yana mfumo huu kwa sasa...
Nikiona wakuu mnamiliki latest cars au mnaishi ama kusafiri europe hua natamani sana. Msisite kuleta nyuzi humu mtuandikie sisi vijana tujue mlipitia njia gani kufika hapo mlipo
Unaweza kua na hiyo range ya 2017 ukajiona kawaida sana.but huku tupo vijana wadogo tunaotamani kufikia hatua iyo ila tunakosa ushauri kutoka kwenu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app