Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Ndio napendelea racing.Kwa kweli sijawahi kufanya hivyo na sina uhakika nalo kwani umri kwa sasa umenitupa ingawa miaka ya nyuma sana nilikuwa ni mshabiki na mmiliki wa sport cars za aina tofauti na ndio ulikuwa mchezo wangu...
Ooh kama mimi
Unaruhusiwa kushiriki na gari yoyote.Ooh kama mimi
Napenda sana kwenda kuangalia racing ingawa mida hii ni baridi sana
Huwa naenda miezi ya joto na mwezi wa sita huwa ni Japanese cars only hiyo ntaenda nikijaaliwa inafanyika Santa Pod
Sent from my SM using Tapatalk
Yes
JDM cars only.Ooh kama mimi
Napenda sana kwenda kuangalia racing ingawa mida hii ni baridi sana
Huwa naenda miezi ya joto na mwezi wa sita huwa ni Japanese cars only hiyo ntaenda nikijaaliwa inafanyika Santa Pod
Sent from my SM using Tapatalk
Mkuu una uzoefu nayo hii.JDM cars only.
Hapana gari zote zinahusika ila mwezi wa sita ndio kuna JDM tuMkuu una uzoefu nayo hii.
Kwa wale wa Porsche 911, Bmw, Benz na Ford hawahusiki kwakuwa sio JDM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miezi inatofautiana mkuuJDM cars only.
Niulize kitu kwa uzoefu wako ulaya. Kuna gari nimepata online London lakin malipo yake ni pay on collection. Je una ma agent reliable unawajua nilipe bila hofu ya kupigwa na taratibu za shipping.Start stop system imeanza muda sasa kama miaka 10 iliyopita kwa baadhi ya magari. Na zingine zikifuatia kama Bentley ambao walianza 2016
Na magari mengi yana mfumo huu kwa sasa...
Nipo hapa kweli ila sina uhakika ila kama utaniambia ni gari gani naweza kukuulizia na shipping piaNiulize kitu kwa uzoefu wako ulaya. Kuna gari nimepata online London lakin malipo yake ni pay on collection. Je una ma agent reliable unawajua nilipe bila hofu ya kupigwa na taratibu za shipping.
Mtumeee. Laki 5 Bei ya kiwanja 20x20 huku KisemvuleTofauti ipo kubwa tuu.lkn kwa haraka haraka achana na push to start ..tatizo kubwa ni garama funguo ikipotea.laki 5 ni suala la kawaida tuu