Tofauti ya trector za kichina na hizi massey ferguson john deere.... ni ipi hasa!!


duh hio john deere ipi ndug mbn mkwanja ni mrefuuu ivo!!!!!
 
Thanks
 
hivi majembe hayaingiliani?? mashine una nunua massey jembe john dee, tela la holland... hii haiwezekani???
 
hivi majembe hayaingiliani?? mashine una nunua massey jembe john dee, tela la holland... hii haiwezekani???


Jembe na tela zinaingiliana kwa trekta zote.

Mfano mwaka jana nilikuwa shambani ninaendesha mwenyewe John Deer iliyofungwa jembe ya Maasay. Hata tela zinaingiliana tu sema sasa mfano John Deer inaweza ikavuta tela kubwa ambayo Swaraji itashindwa maana Swaraji ni nyepesi.

Maq nyingi tela ni za kuchonga, so maamuzi ni ya mtu binafsi anataka ya ukubwa gan na trekta yake ina uwezo gani.

Swaraji inaweza, mfano, kuvuta tela kubwa ila hiyo tela ikijazwa mzigo full unaiua trekta.

Na hapo ndipo utakuta ,mfano, ukimwambia mtu mzoefu kuwa unauza trekta aina fulani, atakuuliza bila jembe? Hii ina maanisha kwamba majembe yanaingiliana so mtu anauza trekta then jembe na ana uhakika wa soko kwa kuwa yanaingiliana
 

thanks [emoji1374]
 
Mkubwa kama unajiweza nakushauri ununue fagason au masey japo gharama iko juu kiasi ila urahisi wake ni kuwa spare zinapatikana kila mahali na ni ngumu kuliko hizo zakichina ambazo zikiharibika spare hadi uagize kwao yaani soko la spare wamelishikilia wao wachina wenyewe hata ufundi same time hua wanataka wakutengenee wao wenyewe
 
Hiyo ford au fiat kwa hapo bongo sijui kama zipo na spare inamsumbua kiasi kama akioata maana ile ni mwingereza kila kitu
 
nimekupata ndugu sas hizo john deere used nawaza kuzipata wapiii hapa hapa bongo??
yan inakua imetumia uk au wap mkuu
Used zipo ila tatizo ni spare kuipata labda uagize mombasa au nairobi
 
bei za wachina wanazoziweka katika mtandao wao wa alibaba hazina uhalisia. iyo tractor ya $3500, ukiwaambia wakupe invoice mpka inafika dar es salam port utaskia ni $20000
Hahaaa kweli kabisa na mchina alichoharibu spare wanataka wakuuzie wao tuu
 

kwahyo ni ivo 2???? ina mana yananguvu safi tu na unapiga kazi kama mengine?? mana likiwa jipya hadi kuanza kusumbua lazima uchukue mda kidog!!!!
 
me ntanunua haya haya matrector ya kichina nijionee alafu ntawapa mrejeshoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…