george chambila
Member
- Sep 27, 2014
- 27
- 2
Zote ni salama.Je ni ipi iko salama zaidi katika manunuzi ya vitu online kati ya ebay na amazon
EBAY/AMAZON ndio wanakufanyia refund. Iwapo utafungua case, Hata kama ulisha ulisha pokea mzigo na kuthibitisha kuwa ulipokea mzigo ila baada ya muda ukatamba kuwa ni fake au una kasoro.Nikisema tracking namaanisha physical address na VAT number kuonyesha analipa kodi na ataweza kulipa refunds.
Iwapo utatumia taratibu sahihi za manunuzi, bado uko salama na fedha yako inarudishwa.Usinunue bidhaa toka Eastern Europe maana wengi ni matapeli na unaweza kununua simu na ukaletewa boksi limejazwa karatasi.
Muuzaji anaweza kuwa na feedback mbili tu na ikawa inaonyesha rep. ni asilimia 100%Kama muuzaji yupo Easteren Europe basi angalia reputation yake na iwe kuanzia 99% - 100%
Njia salama ya kufanya malipo ni kutumia Paypal, alipay, amazon pay na sio matumizi ya card direct. (Jpokuwa zipo site salama za kutumia card direct)Pia usitoe taarifa zozote za kuhusu kadi zako za benki wala taarifa zingine binafsi kwenda Ebay mpaka utakaporidhika na maelezo ya hapo juu.
Sites zote ebay, amazon ni salama kwa asilimia 100, Kinachotakiwa ni mnunuzi kuwa na ABCs za vitu vya kuzingatia kabla ya kufanya manunuzi ya bidhaa husika.Amazon ni salama kwa 100% na ndo huwa nawatumia mara nyingi, isipokuwa hawasafirishi mizigo kuja Tanzania kwa sasa.
Ila zipo njia za kufikisha mzigo hapa Tanzania toka hizo site husikaisipokuwa hawasafirishi mizigo kuja Tanzania kwa sasa.
Vipi kuhusu mzee mzima kupatana.com !? Maana nahisi ni genge la wahuni!![emoji21]MImi ni mzoefu wa hizi plafforms mbili kwa miaka mingi na sijapata tatizo lolote la kuwezesha kutumia sheria.
Lakini Ebay unapaswa kuhakikisha muuzaji ni wa UK au US bila kujali suppliers wake ni wa wapi kwani ni rahisi kufanya tracking kwake.
Nikisema tracking namaanisha physical address na VAT number kuonyesha analipa kodi na ataweza kulipa refunds.
Usinunue bidhaa toka Eastern Europe maana wengi ni matapeli na unaweza kununua simu na ukaletewa boksi limejazwa karatasi.
Kama muuzaji yupo Easteren Europe basi angalia reputation yake na iwe kuanzia 99% - 100%
Pia usitoe taarifa zozote za kuhusu kadi zako za benki wala taarifa zingine binafsi kwenda Ebay mpaka utakaporidhika na maelezo ya hapo juu.
Amazon ni salama kwa 100% na ndo huwa nawatumia mara nyingi, isipokuwa hawasafirishi mizigo kuja Tanzania kwa sasa.
Bidhaa nyingi ambazo utazipata Ebay zinapatikana Amazon, hivyo waweza kununua bidhaa kutoka Amazon.co.uk au Amazon.com
Ukifuata taratibu sahihi za manunuzi, Ndio waweza kunua bidhaa.Vipi kuhusu mzee mzima kupatana.com !?
Licha ya kuhisi, Je kuna utafiti umefanya wa njia bora zaidi ya kununua kupitia kupatana??Maana nahisi ni genge la wahuni!!
Mwalimu, Mimi kule nimeshapigwa mpaka huruma!!Ukifuata taratibu sahihi za manunuzi, Ndio waweza kunua bidhaa.
Iko wazi kupatana usifanye nalipo kabla ya kuiona na kukagua bidhaa husika. NJE YA HAPO HAKUNA BIASHARA
Licha ya kuhisi, Je kuna utafiti umefanya wa njia bora zaidi ya kununua kupitia kupatana??
1. Hakuna biashara ya kutanguliza fedha ( Hasa kupatana)Mwalimu, Mimi kule nimeshapigwa mpaka huruma!!
Vipi kuhusu mzee mzima kupatana.com !? Maana nahisi ni genge la wahuni!![emoji21]
EBAY/AMAZON ndio wanakufanyia refund. Iwapo utafungua case, Hata kama ulisha ulisha pokea mzigo na kuthibitisha kuwa ulipokea mzigo ila baada ya muda ukatamba kuwa ni fake au una kasoro.
Iwapo utatumia taratibu sahihi za manunuzi, bado uko salama na fedha yako inarudishwa.
Muuzaji anaweza kuwa na feedback mbili tu na ikawa inaonyesha rep. ni asilimia 100%
Kinachotakiwa angalia idadi ya positive and negative reviews
Angalia kama amewekewa logo ya Top rated seller.
Tembelea store yake hakiki bei ya bidhaa zingine, Je bei zina uhalisia ukilinganisha na site zingine kama amazon au bestbuy etl, ndipo fanya manunuzi.
Mfano unaona wazi laptop ya USD900 imeandikwa USD 130 na wewe unaaamua kununua, hapo ni kujitafutia usumbufu usio wa lazima.
Njia salama ya kufanya malipo ni kutumia Paypal, alipay, amazon pay na sio matumizi ya card direct. (Jpokuwa zipo site salama za kutumia card direct)
Sites zote ebay, amazon ni salama kwa asilimia 100, Kinachotakiwa ni mnunuzi kuwa na ABCs za vitu vya kuzingatia kabla ya kufanya manunuzi ya bidhaa husika.
Ila zipo njia za kufikisha mzigo hapa Tanzania toka hizo site husika
Ref
- Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy) - JamiiForums
- Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
Kwa kutumia huduma yangu ya BUY4ME basi waweza kupata bidhaa toka mahala popote duniani na ikakufikia tanzania bila shida, Nina access na mataifa zaidi ya 25 kuweza kusafirisha bidhaa kuja Tanzania.
Ukiwa Kama ni mtumiaji wa EBAY/ PAYAPAL:Ebay kuna watu wengi wamepigwa sana hasa na wazungu wa Eastern Europe, hiyo nna uhakika wa 100%.
Vipi kuhusu alibaba ni Salama kuagiza bidhaa.Maana China vitu bei rahisiEBAY/AMAZON ndio wanakufanyia refund. Iwapo utafungua case, Hata kama ulisha ulisha pokea mzigo na kuthibitisha kuwa ulipokea mzigo ila baada ya muda ukatamba kuwa ni fake au una kasoro.
Iwapo utatumia taratibu sahihi za manunuzi, bado uko salama na fedha yako inarudishwa.
Muuzaji anaweza kuwa na feedback mbili tu na ikawa inaonyesha rep. ni asilimia 100%
Kinachotakiwa angalia idadi ya positive and negative reviews
Angalia kama amewekewa logo ya Top rated seller.
Tembelea store yake hakiki bei ya bidhaa zingine, Je bei zina uhalisia ukilinganisha na site zingine kama amazon au bestbuy etl, ndipo fanya manunuzi.
Mfano unaona wazi laptop ya USD900 imeandikwa USD 130 na wewe unaaamua kununua, hapo ni kujitafutia usumbufu usio wa lazima.
Njia salama ya kufanya malipo ni kutumia Paypal, alipay, amazon pay na sio matumizi ya card direct. (Jpokuwa zipo site salama za kutumia card direct)
Sites zote ebay, amazon ni salama kwa asilimia 100, Kinachotakiwa ni mnunuzi kuwa na ABCs za vitu vya kuzingatia kabla ya kufanya manunuzi ya bidhaa husika.
Ila zipo njia za kufikisha mzigo hapa Tanzania toka hizo site husika
Ref
- Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy) - JamiiForums
- Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
Kwa kutumia huduma yangu ya BUY4ME basi waweza kupata bidhaa toka mahala popote duniani na ikakufikia tanzania bila shida, Nina access na mataifa zaidi ya 25 kuweza kusafirisha bidhaa kuja Tanzania.
Umenena kweli cjawahi nunua ebay wala amazon mm nipo tu huku kwangu (aliexpress)MImi ni mzoefu wa hizi plafforms mbili kwa miaka mingi na sijapata tatizo lolote la kuwezesha kutumia sheria.
Lakini Ebay unapaswa kuhakikisha muuzaji ni wa UK au US bila kujali suppliers wake ni wa wapi kwani ni rahisi kufanya tracking kwake.
Nikisema tracking namaanisha physical address na VAT number kuonyesha analipa kodi na ataweza kulipa refunds.
Usinunue bidhaa toka Eastern Europe maana wengi ni matapeli na unaweza kununua simu na ukaletewa boksi limejazwa karatasi.
Kama muuzaji yupo Easteren Europe basi angalia reputation yake na iwe kuanzia 99% - 100%
Pia usitoe taarifa zozote za kuhusu kadi zako za benki wala taarifa zingine binafsi kwenda Ebay mpaka utakaporidhika na maelezo ya hapo juu.
Amazon ni salama kwa 100% na ndo huwa nawatumia mara nyingi, isipokuwa hawasafirishi mizigo kuja Tanzania kwa sasa.
Bidhaa nyingi ambazo utazipata Ebay zinapatikana Amazon, hivyo waweza kununua bidhaa kutoka Amazon.co.uk au Amazon.com
Vipi kuhusu alibaba ni Salama kuagiza bidhaa.Maana China vitu bei rahisi
Vipi usafirishaji wa bidhaa kwa ebay na amazon huchukua muda gani ukilinganisha na aliexpress?MImi ni mzoefu wa hizi plafforms mbili kwa miaka mingi na sijapata tatizo lolote la kuwezesha kutumia sheria.
Lakini Ebay unapaswa kuhakikisha muuzaji ni wa UK au US bila kujali suppliers wake ni wa wapi kwani ni rahisi kufanya tracking kwake.
Nikisema tracking namaanisha physical address na VAT number kuonyesha analipa kodi na ataweza kulipa refunds.
Usinunue bidhaa toka Eastern Europe maana wengi ni matapeli na unaweza kununua simu na ukaletewa boksi limejazwa karatasi.
Kama muuzaji yupo Easteren Europe basi angalia reputation yake na iwe kuanzia 99% - 100%
Pia usitoe taarifa zozote za kuhusu kadi zako za benki wala taarifa zingine binafsi kwenda Ebay mpaka utakaporidhika na maelezo ya hapo juu.
Amazon ni salama kwa 100% na ndo huwa nawatumia mara nyingi, isipokuwa hawasafirishi mizigo kuja Tanzania kwa sasa.
Bidhaa nyingi ambazo utazipata Ebay zinapatikana Amazon, hivyo waweza kununua bidhaa kutoka Amazon.co.uk au Amazon.com
Nafikilia kuagiza drip irrigation na mashine ya kusaga plasticNdio ni salama.
Mara kadhaa nimeagiza.
Zipi site salama za kununua kwa card directly mkuu?EBAY/AMAZON ndio wanakufanyia refund. Iwapo utafungua case, Hata kama ulisha ulisha pokea mzigo na kuthibitisha kuwa ulipokea mzigo ila baada ya muda ukatamba kuwa ni fake au una kasoro.