Tofauti ya usalama kati ya ebay na amazon

Hutegena njia ya usafirishaji ambayo muuzaji husika anaitumia

Kuna
- economy: Muda zaidi ya wiki 3 (Huweza chukua hadi wiki 5)
- Standard: muda chini ya wiki tatu.&
- Express - Muda chini ya siku 10

Vipi usafirishaji wa bidhaa kwa ebay na amazon huchukua muda gani ukilinganisha na aliexpress?
 
Hutegena njia ya usafirishaji ambayo muuzaji husika anaitumia

Kuna
- economy: Muda zaidi ya wiki 3 (Huweza chukua hadi wiki 5)
- Standard: muda chini ya wiki tatu.&
- Express - Muda chini ya siku 10
Asante
 
Ulicho onge ni kweli japo mm siipendi amoz kwasababu wao kwa africa wana ship Southafrica tu,

Pia amozon ni wamarekani zaidi,

MM nimefanya na EBAY kwa miaka kumi sasa,wapo vizuri sana, vifaa nilivyo nunu kwa matumizi binafsi ni kama Sim,laptop dawa nguo viatu nk,

Maduka mengi ya EBAY wanaaccepty malipo kupitia njia mbali mbali moja wapo ikiwa PAYPAL ambayo mm hua naitumia

PAYPAL wanaact kama EPA(middle man) wao wanakaa na hela yako,tatizo likitokea wanarudisha hela yao kama ilivyo,
Kwasasa tangia aingie JOHN mambo ni magumu kidogo kwasababu kila bidhaa inayo zidi dola mia wanatoza kodi,
EBAY vitu ni bei nafuu sana,
Mfanao natumia samsung note 8 niliyo nunua kama used kwa DOLA 480,niliipata JAN 2018
Tatizo watu hawajui jinsi ya kuselect items,huwezi uakatufuta bidhaa za asia marekani then utegee uatpata kwa bei rahisi,mfano unataka kununua samsung toka UK au Marekani,lazima uone ni ghali sana,ila ukinunua toka Korea rahisi sana,,,
Pia kuchagua ije kwanijia gani,
the fastest ni DHL siku mbili mpaka Tano toka Ulaya
USPS ni seven days wengini hadi mwezi
Ushauri usinunu kitu toka CHina kwa kuangalia picha
 

nakuunga mkono kwa 100%

Cha msingi ni kwa wana JF kufuata ushauri elekezi wako mzuri na ulioshiba maelezo ya kutosha.
 
Vipi kuhusu mzee mzima kupatana.com !? Maana nahisi ni genge la wahuni!![emoji21]
kupatana si genge la wahuni ama matapeli kikubwa ni kufuata sheria na taratibu zilizo bainishwa ikiwa si kutuma hela kwa muuzaji kabla yakuuona mzigo na kuukagua na kujiridhisha nao, ukifanya hivyo utakuwa salama kwa asilimia kubwa sana
 
Uko sahihi,mara 2 nimeagiza vitu kupitia Kikuu from China havifanani na nilichoona kwenye picha.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…