Tofauti ya utangazaji wa nje na wa tz

Tofauti ya utangazaji wa nje na wa tz

Bani Israel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
1,775
Reaction score
3,593
MTANGAZAJI!

Ulaya: I am Kevin Byant,CNN.

Tanzania: Mimi ni Jooooooooji Maratoooooo Ai ti viiii Maraaaaaaaaaaaaaaa[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Watangazaji wetu wengi hovyo

nikiripoti kutoka mkoa kilimanjaro kata so so wilaya so so kwenye maporomoko ya maji so so Mimi Ni so so.
yote haya ya nini
unasema Tu
Mimi Ni so so,Kilimanjaro
 
Hata CNN, wanataja eneo habari inapotokea
 
Back
Top Bottom