mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Habari za asubuhi wanajukwaa,
Naomba kujua tofauti ya vitabu tajwa hapo juu maana naona kuna shule hasa hizi za English Medium zinatumia vitabu vya MEP kufundishia na zingine zinatumia vitabu vya TIE kufundishia.
Kwa mfano mwanangu alikuwa anasoma shule flani (ameshamaliza)na walikuwa wanaasisitiza tumnunulie mtoto vitabu vya MEP, sasa vile vitabu nilitarajia mdogo wake (anasoma shule tofauti na aliyosoma kaka yake) atakuja kuvitumia sitanunua tena vitabu vingine sasa hii shule wao wanasema wanatumia vitabu vya TIE kufundishia watoto.
Mi naona wananichanganya tu maana vitabu vyote hivi vimeruhusiwa kufundishia sasa sijui tofauti yake ni nini?
Kwanini wengine MEP na wengine TIE?