Tofauti ya wa Kizungu na wa Kiswahili

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Msichana Wa Kizungu Akitaka Penzi Atakutizama Kwa Mahaba, Atakusogelea, Atakukiss Then Atakwambia*
*_"Let's Do It"_*

*Msichana Wa Kiafrika zaidi wa Kitanzania; Akitaka Penzi Atakuuliza*
*_"Sasa Hivi Ni Saa Ngapi?"_*
```Ukimjibu Utamsikia!```
*_"Baada Ya Nusu Saa Mi Naondoka Zangu!"_*
.......{{[emoji23][emoji23]}}.......
 
Fafanua mkuu
 


Umesahau kwa msichana wa kitanzania kabla ya kutaka penzi LAZIMA ataomba pesa na kukutwisha matatizo yake, wanaboa kichizi.
 
Ha ha ha ha kwa kweli ni hovyo kabisa utasikia Ila ukumbuke hela ya kusukia


Yamekukuta na wewe pia? Mademu wa kibongo ni wa hovyo sana. Ona HAMISA, mtu kapewa offer tu ya kupigwa mti eti anapiga picha akaringishie wenzake kuwa kachapwa ili aonekane yuko juu....yaani mpaka changu anajiona wa maana kwa hapa Bongo.
 
Jamaa "FUNDI" hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…