ogmhillu
Member
- Jul 24, 2017
- 87
- 71
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Msichana Wa Kizungu Akitaka Penzi Atakutizama Kwa Mahaba, Atakusogelea, Atakukiss Then Atakwambia*
*_"Let's Do It"_*
*Msichana Wa Kiafrika zaidi wa Kitanzania; Akitaka Penzi Atakuuliza*
*_"Sasa Hivi Ni Saa Ngapi?"_*
```Ukimjibu Utamsikia!```
*_"Baada Ya Nusu Saa Mi Naondoka Zangu!"_*
.......{{[emoji23][emoji23]}}.......