Tofauti ya wanaume na wavulana.......kitabia...

halafu The Boss,mwambie Bebii leo ama zake ama zangu popote pale nitakapomkuta.
nipo bishanga kuna mahali naenda kuna mbuzi naenda kumchinja mahali ana nyama kweli nashukuru kwa uzi huu itabidi nimle kama mwanamke na sio msichana...... thax the boss kwaherini
 
kongosho umenichekesha sikuhizi wamejaa wavulana hata hawajielewi mweeee!
 
Naunga mkono hoja, kuna kazee hapa kitaa kako kama 55 kakiona mwanamke mrembo kakatiza tu basi kanaaga kijiwe na kanasema laivu "naenda kumlia nyeto, kulaleki" , haka ni kavulana tu labda katakuwa kanaume kakiingia kaburini.
Mkuu inabidi uhame hapo, unaweza kuta kizee kinamlia nyeto hadi mamsapu wako aisee

Vizee vingine noma,

tunawaitaga chamtumavi
 
Kamanda, TF ni Boyz II Men

Anaswing kulingana na demand.... he is the balance of nature
 
nipo bishanga kuna mahali naenda kuna mbuzi naenda kumchinja mahali ana nyama kweli nashukuru kwa uzi huu itabidi nimle kama mwanamke na sio msichana...... thax the boss kwaherini
nakufata huko huko.....
 
Kamanda, TF ni Boyz II Men

Anaswing kulingana na demand.... he is the balance of nature
mmmhhh majibu hayo kakupa nani Babii,Sl au Hus? maana anawachanganya wote,halafu nao sijui wakoje yaani!
 
Duh afadhali
Ila hao wanaobakia wavulana milele hao ni balaa yaani kiumri wako juu ila bado wavulana
 
Wavulana wanavaa suruali midebwedo.
Jamani napita tuuu.
 
boss yasemekana wewe ni bingwa wa ku pm wadada humu ndani hiyo inakuweka kwenye uvulana zaidi haujatulia kabisaaaaa
 
There is a way to separate boys from men! You will know when the life racing gets tight
 
Exactly Boss! A lot of boys even in the groups of the so called "men". Its all about what an individual has in mind.

hiyo huwa inaitwa 'kubalehe akili' na sio mwili tu peke yake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…