Tofauti ya wanaume na wavulana.......kitabia...

Tofauti ya wanaume na wavulana.......kitabia...

Asante the boss,naomba kuongezea
i)wavulana wengi hung'ang'ania hata wakiambiwa hawapendwi,ila wanaume hutulia nakuchambua sababu na km hazirekebishiki husepa kimya kimya!
ii)wavulana wengi wakiachana na binti humsema vibaya,kashfa kibao na kumwekea bifu,ila hawana mda wa kuongelea hayo na hata mkikutana mnasalimia hakuna bifu
Wikend njema mkuu.
 
asante aisee
 
Wavulana wanapenda sana kujisifia ili ujue ana nini..wanapiga mayowe.
Mwanaume kimya kimya matendo yanajionyesha
 
7.Mvulana hupiga kelele au kuguna guna au kutoa sauti au kubadilika tabia
akiona 'mrembo ' kaingia au anapita karibu...
Mwanaume hujifanya hajaona kitu,sana sana akiamua 'huchukua hatua'
muafaka....kimya kimya...

haleluyyah!
 
Uko sawa kabisa!Ila ingependeza pia tungepata tofauti kati ya MSICHANA na MWANAMKE.
 
mvulana akikutoa kidogo kesho yake asubui subui yuko jf kulalamika umemchuna..ovyo kweli uadhani uwa wanalazimishwa
 
Kwani siku hizi huwa kuna cha kuchagua?

We unadhani ni kwa nini wavulana wanalalamika kuwa wanasichana wanachungulia mifuko yao? wanagaharamikaaa, wakitegemea kulipwa baadae, kumbe na wasichana walishawajua wavulanaaa, wakishakula wanahamia kwa wanume wa ukweli, LOL
 
Back
Top Bottom