Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante the boss,naomba kuongezea
i)wavulana wengi hung'ang'ania hata wakiambiwa hawapendwi,ila wanaume hutulia nakuchambua sababu na km hazirekebishiki husepa kimya kimya!
ii)wavulana wengi wakiachana na binti humsema vibaya,kashfa kibao na kumwekea bifu,ila hawana mda wa kuongelea hayo na hata mkikutana mnasalimia hakuna bifu
Wikend njema mkuu.
ulikuwa hujui??? lol
unataka mwanaume?kumbe kuna wanaume na wavulana eeeh ngoja nitafute wanaume sasa
wewe waonaje? lol
7.Mvulana hupiga kelele au kuguna guna au kutoa sauti au kubadilika tabia
akiona 'mrembo ' kaingia au anapita karibu...
Mwanaume hujifanya hajaona kitu,sana sana akiamua 'huchukua hatua'
muafaka....kimya kimya...
I love U for this, that's why I can't date. Sikutani na wanaume, nakutana na wavulana tu ambao hata ukiongea haelewi unaongelea nini.
wewe ni mwanaume?unataka mwanaume?
haleluyyah!
Kwani siku hizi huwa kuna cha kuchagua?Wewe ni mvulana au mwanaume? Ndo maana siku hizi wasichana wanawakimbia wavulanaaaaaaa!!!!!!
wewe ni mwanaume?[Ndio ni mwanaume
Kwani siku hizi huwa kuna cha kuchagua?