Tofauti ya wanaume na wavulana.......kitabia...


Duh!kweli kuna tofauti
 
Asante naongeza .mvulana akienda na mwanamke atakuja kusimulia kila kitu hata rangi ya nguo ya ndani.Wakati mwanaume atayameza yote yaliyotokea mlipokuwa wawili.
 
The Boss lakini hata na sisi wanaume tulipitia kwenye uvulana. huwezi kuwa mwanaume biula kupitia uvulana
 
Yes,
huu uzi narudia mara ya tatu sasa nikiusoma,
nakubali!
 
The Boss lakini hata na sisi wanaume tulipitia kwenye uvulana. huwezi kuwa mwanaume biula kupitia uvulana

yes...
nimezungumza pia hilo..tazama page za nyuma..
 
Sijui nani atatupa tofauti ya msichana na mwanamke. Mi naanza na moja, msichana kwa mizinga anaongoza, ila mwanamke hakupigi mzinga wa kifedha
 
Msichana akinogewa anachonga mzinga/michecheto kila muda,mara beeps,ngongongo za kila muda,mwanamke anachukulia sitaki nataka kinidhamu!
 
ANGALIZO= HAPA NAZUNGUMZIA WATU MNAOFAHAMIANA TAYARI SIO ONLINE PEOPLE AMBAO HUJAKUTANA NAO
NA UANZE KU WA JUDGE KWA POST TU ZA HUMU...

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
hujachelewa waweza changia..still....



Kweli kabisa imekamilika... ila tu kwakuongezea IMO no matter Mwanaume ni kamilifu kiasi gani there is always a boy inside popin' up once in a while...
 
ANGALIZO= HAPA NAZUNGUMZIA WATU MNAOFAHAMIANA TAYARI SIO ONLINE PEOPLE AMBAO HUJAKUTANA NAO
NA UANZE KU WA JUDGE KWA POST TU ZA HUMU...

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa



hahaha.... Kwani jamvini sio watu.... Mbona mie nimeobserve a lot of wavulanas in the men....lol (thou niwachache)
 
hapo uliposema kuna wengine watabaki kuwa wavulanaaaaaaaa milele ni balaa ngoja nimsome huyu wa kwangu yupo kiumeni ngapi na kivulana ngapi? kama sio mwanaume nampiga chini

mchek fresh km kifaa kipo poa.wengne wamekosa UULANA.UANAUME ATA KIFAA PIA HAWANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…