Wanaume wa Dar vyakula vyao ni kama vya dada zetu yaani Chipsi Mayai Kwa Mishikaki au Kipande chakuku Halafu akitoka hapo anaenda kumtekenyatekenya manzi yake halafu nae anajiona kama bonge lakidume ..wakati mwanaume wa mkoa chipsi na mishikaki pamoja na kuku tunatumia kama mboga tunapokula ugali ..Badilikeni wanaume wa Dar mnatuabisha wanaume ..