Tofauti ya wanaume wa Dar na Mkoani.

Tofauti ya wanaume wa Dar na Mkoani.

Yomakon

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
638
Reaction score
679
cd9e14e02f0ad4f7f0890580171df2c1.jpg
Wanaume wa Dar vyakula vyao ni kama vya dada zetu yaani Chipsi Mayai Kwa Mishikaki au Kipande chakuku Halafu akitoka hapo anaenda kumtekenyatekenya manzi yake halafu nae anajiona kama bonge lakidume ..wakati mwanaume wa mkoa chipsi na mishikaki pamoja na kuku tunatumia kama mboga tunapokula ugali ..Badilikeni wanaume wa Dar mnatuabisha wanaume ..
 
Utafiti unaonesha kwamba, watu wengi wanaokula ugali akili zao zimedumaa na ni rahisi zaidi kuwatawala
 
Wanaume WA bush hawaogi kazi kunuka tuu na akili zao kuwaza nyonya damu and kuwanga
 
Back
Top Bottom