Uchaguzi 2020 Tofauti za kampeni Kati ya Lowassa na Lissu

Uchaguzi 2020 Tofauti za kampeni Kati ya Lowassa na Lissu

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,475
Mataga ndio watu ambao hawana ufahamu kabisa kwa mambo ya uchambuzi wa siasa za Tanzania na Afrika.

Wakati wa Lowassa utawala wa Kikwete ulirihusu vyama kufanya siasa kwa Uhuru na uwazi kiasi tofauti na Jiwe ambae amezuia kabisa siasa kwa miaka mitano huku yeye na wapambe wake wakitamba.

Amezuia TV,magazeti,Redio na hata mitandao ya kijamii kutangaza habari za vyama vingine mbali ya CCM.

Magazeti na Redio yaliyoonekana kwenda kinyume na yalifungiwa.

Wakati wa Kikwete haikua hivyo kwa Sana.
Hapo ndipo vyama vilipata nafasi ya kujijenga,hususan Chadema.

CDM ilijijenga kwa operational mbalimbali hasa maarufu operation Sangara.

Hakukua na sheria kandamizi kuzuia kuunganisha vyama.

Kwa machache hayo
Lowassa alifaidika na muungano wa UKAWA .
Lowassa aliikuta CDM iko juu na imara Sana,kwa kifupi CDM ilimbeba Lowassa na baadae UKAWA.

Hata hivyo Lowassa alikuja na wafuasi wake alitoka nao Huko CCM.
Akaikuta Chadema iko juu hatari,wakati huohuo akapata Watu toka CUF,NCCR na hata NLD.
Lowassa alikuja na hela zake alizokua amejiaandaa kugombea Kama angepitishwa huko CCM.

Sasa tuje kwa Lissu

Lissu anagombea katika kipindi kigumu Sana,
Miaka mitano CDM na vyama vingine vimekua jela,havikupata nafasi ya kukitangaza Wala kujijenga,

Wafuasi wao wameishi kwa hofu,ukioneka unasapoti Upinzani na hasa CDM utakiona Cha Moto,hivyo watu walogopa kukitokeza,

VIONGOZi wa Upinzani kukamatwa na kushitajiwa,

Mali zao kuvulugwa kwa mfano Mbowe na biashara zake,

Lissu kuwa mwanasiasa aliyekamatwa kuliko mtu yeyete Tanzania,

Lissu kuuwawa lakini akafufukia Nairobi na Belgium,

Hizo ndio tofauti chache za Lowassa na Lissu.

Hata hivyo Lissu licha ya kwamba Kampeni zake hazitangazwi tofauti na zama za Lowasaa lakini Bado mikutano ya Lissu inajaza watu Sana,na kadri siku zinavyo kwenda watu uoga ndio unazidi kuwatoka.

Watu wa Lissu hawatokani na Ukawa,Bali Ni Watanzania.

Lisu Ni mpinzani halisi,
Lissu Ni mpigania Haki toka kuzaliwa,
Kufanya siasa kipindi hiki Ni kujitoa sadaka,Lisu kajitoa sadaka.

Watu wa Lissu Ni wengi kuliko wa Lowassa,kwa sababu Hawa Ni wale hawana Cha kupoteza,kwani hata wakifahamika Jiwe Hana Cha kuwafanya,wafuasi wengi wa Lissu wako majumbani wanaogopa kuonekana hadharani,kwa sababu Utawala huu Ni utawala wa visasi.

Mataga jifunzeni kutofautisha nyakati.

Chagua Lissu na mbunge wa CHADEMA na Diwani wa CHADEMA ili Lissu aunde Seikali huru.
 
Kumfananisha Lowasa na yule jamaa wa ubeligiji ni kuwatukana Watanzania

Yule jamaa wa ubeligiji anachoweza ni kuropoka na matusi tu
Halafu we Pimbi wa kijani kibichi angalia hapa ndio utaelewa .
IMG_20200912_193932.jpg
 
Kumfananisha Lowasa na yule jamaa wa ubeligiji ni kuwatukana Watanzania

Yule jamaa wa ubeligiji anachoweza ni kuropoka na matusi tu
40. In Tao the only motion is returning; the only useful quality, weakness.
 
Mmeona mambo magumu mnaanza kuokoteza visababu ili mpate kura za huruma. Record aliyoweka Magufuli haiwezi kufutwa kwa mipasho ya Lissu
 
Kumfananisha Lowasa na yule jamaa wa ubeligiji ni kuwatukana Watanzania

Yule jamaa wa ubeligiji anachoweza ni kuropoka na matusi tu
Tulia wewe pimbi mpaka urudishe hizo buku saba unazolipa na ukiri kuwa President ni lisu
IMG_20200913_225931.jpeg
IMG_20200911_143443.jpeg
IMG_20200906_212246.jpeg
 
Mmeona mambo magumu mnaanza kuokoteza visababu ili mpate kura za huruma. Record aliyoweka Magufuli haiwezi kufutwa kwa mipasho ya lissu
Hawa hawaji kwa matangazo ya TBC wala ITV wala wasani
IMG_20200913_225931.jpeg
 
Tofaut ni kuwa Magufuli anaijua nchi vzr na akihutubia anahutubia pamoja na kujua mazingira uku Lissu hajui chochote

Sasa CHADEMA kwa hella zote za Ruzuku mmeshindwa kujiendeleza na haijulikani hizo hella zaenda wapi
 
Huwezi kumfananisha Mzee Lowasa na huyu Lisu. Mbowe aliona mbali 2015, Lowasa alikuwa na mvuto kwa wananchi wa aina zote. Bila Lowasa na UKAWA 2015 CDM mngepigwa vibaya sana. Ule upepo wake uliongeza viti vya ubunge hasa mikoa ya Manyara, Kilimanjaro, Arusha na Dar es Salam. Mwaka huu sioni nafasi ya CDM kupata wabunge hata 10 tu.
 
Back
Top Bottom