Riwa
Platinum Member
- Oct 11, 2007
- 2,607
- 3,079
Hapo kwenye kumuuliza exs wake ndio anaweza asipate majibu sahihi
me naona angejaribu utrasound kwanza.
Napia kwa swala la kumuandaa angeliangalia upya!
Nakubaliana nawe Ruta....kugundua tatizo hakuepuki umuhimu wa kumuandaa vyema mwenzio!