L ladytk Senior Member Joined Mar 14, 2014 Posts 163 Reaction score 45 Mar 30, 2014 #1 kwa nini wanawake wengine wa moto wengine wa baridi hasa sehemu za siri na kuna ukweli wowote kuwa wanawake wenye maziwa/matiti madogo ni wa baridi sana? kama ni kweli ni nini tiba yake.msaada jamani
kwa nini wanawake wengine wa moto wengine wa baridi hasa sehemu za siri na kuna ukweli wowote kuwa wanawake wenye maziwa/matiti madogo ni wa baridi sana? kama ni kweli ni nini tiba yake.msaada jamani
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,909 Reaction score 2,115 Mar 30, 2014 #2 Kila mwanamke/mwanaume yuko spesho kwaajili ya patina wake, tatizo elimu ya kujua yupi ni yupi hatuna-inaendelea kupotea. Ila african are hoter than whites.
Kila mwanamke/mwanaume yuko spesho kwaajili ya patina wake, tatizo elimu ya kujua yupi ni yupi hatuna-inaendelea kupotea. Ila african are hoter than whites.
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,896 Mar 30, 2014 #3 Umejaribu wangapi ukaja na mawazo hayo?