Tofauti za wanawake.

Tofauti za wanawake.

ladytk

Senior Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
163
Reaction score
45
kwa nini wanawake wengine wa moto wengine wa baridi hasa sehemu za siri na kuna ukweli wowote kuwa wanawake wenye maziwa/matiti madogo ni wa baridi sana? kama ni kweli ni nini tiba yake.msaada jamani
 
Kila mwanamke/mwanaume yuko spesho kwaajili ya patina wake, tatizo elimu ya kujua yupi ni yupi hatuna-inaendelea kupotea.

Ila african are hoter than whites.
 
Back
Top Bottom