Tofuti kati ya Toyota Harrier na Lexus RX

Sasa nmeelewa Kitu..juz kati mitaa flan Kariakoo....c nikaona Harrier imebandikwa Logo ya Lexus kwa nyuma na mbele..kumbe Mzee Mushi aliuziwa Harrier na sio Lexus kama ilivyo kwenye Logo....
Yes, huo mchezo ni mwingi saana. Na shida ni kwamba mtu akisikia Lexus anakuwa teyari kutoa pesa nyingi, kuliko Harrier
 
Kwani kadi ya gari inakua imeandikwaje mkuu.?Toyota harrier au Lexus RX.

Point ya kuuliza hili swali nikujua kwanini wanunuzi wasisome kadi ilivyoandikwa?
Kadi ya gari inaandikwa gari husika. Sababu hizo specs zinazoandikwa kwenye kadi huwezi kuwadanganya wale Wajapan wanaofanya inspection. Ila kutokana na uelewa mdogo, au kutojali, mtu anaambiwa hii ni Harrier Lexus anakubali, vile anaona kadi ina Harrier, ila gari lina Lexus. Hawezi kuwaza kuwa hizo badges zipo madukani zinauzwa.

Kwa kifupi, hata TRA huwezi kuwadanganya. Ila kama umelipa pesa ya Lexus from Japan, na wao watakukamua kodi ya kulingana na pesa uliyolipa. So hasara mara mbili.
 
Basi kumbe shida yao ni elimu ndogo kuhusu magari nilidhani mpk kadi ya gari wanaichakachua,naona hata hizi harrier za 3.0 zinachakachuliwa inabandikwa 2.4 pale nyuma na watu wanaingia mkenge tu.
 
Yes, huo mchezo ni mwingi saana. Na shida ni kwamba mtu akisikia Lexus anakuwa teyari kutoa pesa nyingi, kuliko Harrier
Lakini nadhani ni hulka ya wabongo pia kupenda kuweka Hizo logos maana altezza kibao hapa mjini wameweka logo za Lexus is 200,wengine wana benz za kawaida ila wameweka logo ya AMG,kuna wenye bimmer za kawaida tu 3/5 series wanaweka logo ile Ya M3/M5 mpk nyingine bmw nilikuta imewekwa logo ya ALPINA.
 
Basi kumbe shida yao ni elimu ndogo kuhusu magari nilidhani mpk kadi ya gari wanaichakachua,naona hata hizi harrier za 3.0 zinachakachuliwa inabandikwa 2.4 pale nyuma na watu wanaingia mkenge tu.
Kabisa. Huo mchezo ni mwingi. Hata kwenye Brevis na Crown wanafanya
 
Kwenye Speed O meter Harrier ina speed 180 wakati Lexus yenyewe ni 220, pia pale inapoonesha KM iliotembea kwenye gari kwenye Lexus imeongezea inaonesha na Fuel Consumption KM/L
Very true. Na pia wakati mwingine inakuwa na both KPH na MPH
 
Yes. Juzi nimekutana na Noah ina label ya Lexus
 
Kuna utofauti mkuu, japo mpaka model ya 2007 au 2008. Baada ya hapo Lexus RX ilianza kuwa tofauti kabisa maana Lexus ilianza kuuzwa Japan. Fuatilia vizuri. Mfano hakuna Lexus Is yenye 3sge. Hiyo ilifungwa kwenye Altezza RS tu. Lexus IS ina 1G na 2JZ. Ukikuta ina 3S basi imekuwa modified.
 
ok ok lakin lexus zenye 3sge ni manual gear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweza kusema Lexus ni laxury version of Toyota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…